Hiyo mbona nyepesi, Kuna mwamba alikaa na mke Miaka 51.
Na ktk Miaka hiyo 51, mwanamke amezaa Watoto 3 na wote sio wa mume wake.
Mchizi ilibidi kwenda kuandaa hati ya Taraka, DNA imeprove kua Watoto wote sio wake
Pia Kuna kisa kingine mshikaji, kaowa mke.
alafu huyo mwanamke Watoto wawili amezaa na mshikaji mwingine anaitwa Saidi....
Sasa, Sasa yule mwanamke akaugua uchizi
Baada ya Miaka kupita Saidi akaugua amefariki mwaka Jana, siku ya Msiba wake, pamoja na uchizi alikua nao huyo mwanaumke alienda ktk Msiba wa Saidi, na anaongea kwa kupaza sauti, nimekuja kumzika Mzazi mwenzangu, anawataja Watoto aliozaa nae Saidi na ukimcheki Marehemu Saidi na hao Watoto wanaotajwa, wamefanana kinoma Kila Kitu, kuongea, kutembea unaweza zani Watoto ni mapacha....
NOTE: wanasema kitanda hakizai haramu