Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 746
- 852
Wabongo shida yetu ni kukurupuka kukomenti bila kusoma habari kwa ukamilifu na kuupa ubongo wetu muda wa kutafakari ili tuonekane tunajua au kutoa yanayo jaza na kuumiza mioyo yetu huku tukiwa tunasumbuliwa na umaskini,uchawi,usaliti na roho mbaya.Naamini hujakielewa vizuri hiko kisa. Huyu Bwana Arnold akiwa ndani ya ndoa, alikuwa anamgonga mwanamke mfanyakazi wao wa ndani "house girl" kiasi cha kumtia mimba na kuzaa mtoto. Huyu mtoto wa kiume anaitwa Joseph Baena. Anatumia Ubini wa mama yake hapo kwenye jina. Jaribu kufatilia habari zake. Amefanana sana na baba yake (kama ilivyo kawaida ya watoto wa nje ya ndoa).
Kwa hiyo bwana Arnold alijaribu sana kuficha hili tukio lakini kadiri dogo alivyoendelea kukua, mambo yakadhihirika. Ndio chanzo cha mke wake kuomba talaka. Hapo chanzo ni usaliti wa Bwana Schwarzenegger. Kwa hiyo hapa mke wa Bwana Arnold ndiye anayesikitika kwa uovu aliofanyiwa na mtu aliyempenda hata kumzalia watoto wa nne.
Angalia picha za dogo na baba yake. Copy ya ukweli kabisa ya Mzee Baba Arnold. Halafu naye anapita mule mule alikopita baba yake. Body building mpaka acting.
Kapigiwa mwamba King Mswati itakuwa Arnold huyo star wa movie tu bwana wee.Wabongo shida yetu ni kukurupuka kukomenti bila kusoma habari kwa ukamilifu na kuupa ubongo wetu muda wa kutafakari ili tuonekane tunajua au kutoa yanayo jaza na kuumiza mioyo yetu huku tukiwa tunasumbuliwa na umaskini,uchawi,usaliti na roho mbaya.
Hiyo mbona nyepesi, Kuna mwamba alikaa na mke Miaka 51.
Na ktk Miaka hiyo 51, mwanamke amezaa Watoto 3 na wote sio wa mume wake.
Mchizi ilibidi kwenda kuandaa hati ya Taraka, DNA imeprove kua Watoto wote sio wake
Pia Kuna kisa kingine mshikaji, kaowa mke.
alafu huyo mwanamke Watoto wawili amezaa na mshikaji mwingine anaitwa Saidi....
Sasa, Sasa yule mwanamke akaugua uchizi
Baada ya Miaka kupita Saidi akaugua amefariki mwaka Jana, siku ya Msiba wake, pamoja na uchizi alikua nao huyo mwanaumke alienda ktk Msiba wa Saidi, na anaongea kwa kupaza sauti, nimekuja kumzika Mzazi mwenzangu, anawataja Watoto aliozaa nae Saidi na ukimcheki Marehemu Saidi na hao Watoto wanaotajwa, wamefanana kinoma Kila Kitu, kuongea, kutembea unaweza zani Watoto ni mapacha....
NOTE: wanasema kitanda hakizai haramu
Sijakuelewa, kwani wamerudiana?Nilikuwa nasoma kisa Cha mke wa anord yule gwiji wa filamu za mapigano na kijeshi , ambaye walishi na anord miaka 25 ,anakiri kuzaa na mfanyakazi wake wa ndani nimechokaa, na eti anaumia Kwa kuachwa Kwa talaka, aisee ustaaa wote ule wa anord kapigiwa, nawaza tu hapa Kwa nini Mandela aligoma kumsamehe Winnie Mandela, kwa nini Paulo, yesu hawakuoa huenda Kuna ziada sana ya walivyoviona kwa wanawake,nimejikuta namwangalia mke wangu Kwa akili ya tofauti Leo. Hawa wake za watu tunaopiga kumbe kuna viashiria tunaweza kuwa tunapigiwa
Hili nalo neno...itabidi tuongeee na muheshimiwa wa nchi alifanyie kaziShida sio ndoa
Shida mnaoa mke mmoja
Inatakiwa wawe watatu wanne wawe wanakugombania
Kama unapiga nje unapigiwa ndani, na kama unasikia uchungu wa kipigiwa mke wako kadhalika wake unaowapogia wake zao wanasikia uchungu, acha kupiga nje ya ndoa Yako, ima oa mke mwingine la kama huruhusiwi ukipiga nje siku ukipigiwa kwako utulie tu, kwani kama utendavyo utatendewa.Nilikuwa nasoma kisa Cha mke wa anord yule gwiji wa filamu za mapigano na kijeshi , ambaye walishi na anord miaka 25 ,anakiri kuzaa na mfanyakazi wake wa ndani nimechokaa, na eti anaumia Kwa kuachwa Kwa talaka, aisee ustaaa wote ule wa anord kapigiwa, nawaza tu hapa Kwa nini Mandela aligoma kumsamehe Winnie Mandela, kwa nini Paulo, yesu hawakuoa huenda Kuna ziada sana ya walivyoviona kwa wanawake,nimejikuta namwangalia mke wangu Kwa akili ya tofauti Leo. Hawa wake za watu tunaopiga kumbe kuna viashiria tunaweza kuwa tunapigiwa
una kitu, 100%It's all about respect,silaha ya kwanza ya ndoa kudumu ni wanandoa kutunza kiapo cha ndoa yao awe mwanaume awe mwanamke hata ndoa nyingi zinazohisiwa kuvunjika bongo kwa sababu ya wanawake source kubwa huwa sisi wanaume kukataa kubadilika kutokana na mazingira.
Mtu ameoa tena ni mtu mzima miaka zaidi ya 38 but anataka aendeleze uzinzi kama alivyokuwa umri wa balehe 17yrs mwanamke akiiga au akadai ndoa ivunjike wanakuja humu kujaza server na kauli zao ”kataa ndoa kataa ndoa”
Si kweli kwamba tumeshindikana asee
Anold ndo alizaa na house girl kwa kificho..Yule mwanamke akazaa mtoto anamfana Anold, mke wa Anold alihisi mapema! Anold badae aliongea ukweli wote!ndo basi Tena mke akaomba talakaNilikuwa nasoma kisa Cha mke wa anord yule gwiji wa filamu za mapigano na kijeshi , ambaye walishi na anord miaka 25 ,anakiri kuzaa na mfanyakazi wake wa ndani nimechokaa, na eti anaumia Kwa kuachwa Kwa talaka, aisee ustaaa wote ule wa anord kapigiwa, nawaza tu hapa Kwa nini Mandela aligoma kumsamehe Winnie Mandela, kwa nini Paulo, yesu hawakuoa huenda Kuna ziada sana ya walivyoviona kwa wanawake,nimejikuta namwangalia mke wangu Kwa akili ya tofauti Leo. Hawa wake za watu tunaopiga kumbe kuna viashiria tunaweza kuwa tunapigiwa
Je Kwa sasa Anald kaoa tena au Bado Bado?Anold ndo alizaa na house girl kwa kificho..Yule mwanamke akazaa mtoto anamfana Anold, mke wa Anold alihisi mapema! Anold badae aliongea ukweli wote!ndo basi Tena mke akaomba talaka
Google au Gugu(in makalla's voice)hahahaJe Kwa sasa Anald kaoa tena au Bado Bado?
EeeeeeeeShida sio ndoa
Shida mnaoa mke mmoja
Inatakiwa wawe watatu wanne wawe wanakugombania
Asante Kwa ufafanizi tulishalishwa matango poriNaamini hujakielewa vizuri hiko kisa. Huyu Bwana Arnold akiwa ndani ya ndoa, alikuwa anamgonga mwanamke mfanyakazi wao wa ndani "house girl" kiasi cha kumtia mimba na kuzaa mtoto. Huyu mtoto wa kiume anaitwa Joseph Baena. Anatumia Ubini wa mama yake hapo kwenye jina. Jaribu kufatilia habari zake. Amefanana sana na baba yake (kama ilivyo kawaida ya watoto wa nje ya ndoa).
Kwa hiyo bwana Arnold alijaribu sana kuficha hili tukio lakini kadiri dogo alivyoendelea kukua, mambo yakadhihirika. Ndio chanzo cha mke wake kuomba talaka. Hapo chanzo ni usaliti wa Bwana Schwarzenegger. Kwa hiyo hapa mke wa Bwana Arnold ndiye anayesikitika kwa uovu aliofanyiwa na mtu aliyempenda hata kumzalia watoto wa nne.
Angalia picha za dogo na baba yake. Copy ya ukweli kabisa ya Mzee Baba Arnold. Halafu naye anapita mule mule alikopita baba yake. Body building mpaka acting.
Rekebisha Uzi aisee maana umetuhukumu wanawake bure.Nimesoma upya upo sahihi ni anord alizingua sana
Hii comment watajifanya hawajaiona 🤣Rekebisha Uzi aisee maana umetuhukumu wanawake bure.
Mwanamke ukiona kabadirika asilimia kubwa angalia mume wake
Inawezekana mtoa mada lugha ya Malkia ilimsumbua wakati alipokuwa anasoma hii story. Ila ukweli ndiyo huu. Aliyechepuka alikuwa ni mwanaume, na siyo mwanamke kama alivyo fikiri yeye.Naamini hujakielewa vizuri hiko kisa. Huyu Bwana Arnold akiwa ndani ya ndoa, alikuwa anamgonga mwanamke mfanyakazi wao wa ndani "house girl" kiasi cha kumtia mimba na kuzaa mtoto. Huyu mtoto wa kiume anaitwa Joseph Baena. Anatumia Ubini wa mama yake hapo kwenye jina. Jaribu kufatilia habari zake. Amefanana sana na baba yake (kama ilivyo kawaida ya watoto wa nje ya ndoa).
Kwa hiyo bwana Arnold alijaribu sana kuficha hili tukio lakini kadiri dogo alivyoendelea kukua, mambo yakadhihirika. Ndio chanzo cha mke wake kuomba talaka. Hapo chanzo ni usaliti wa Bwana Schwarzenegger. Kwa hiyo hapa mke wa Bwana Arnold ndiye anayesikitika kwa uovu aliofanyiwa na mtu aliyempenda hata kumzalia watoto wa nne.
Angalia picha za dogo na baba yake. Copy ya ukweli kabisa ya Mzee Baba Arnold. Halafu naye anapita mule mule alikopita baba yake. Body building mpaka acting.