Nilichojifunza kwenye kisa Cha mtalaka wa Arnold yule gwiji wa terminator , wanawake wameshindikana

Hata mimi najua hivyo na nilishangaa sana mtoa habari alivyokurupuka mno na kuanza kuwalaumu wanawake. Labda ashawahi kuvurugwa.
 
Mkuu mmelishwa tango pori. Anold Schwarzenegger ndiye aliyezaa na bekitatu wake. mkewe akadai talaka.
 
ITS OBVIOUS UKILA VYA WATU NA VYAKO VINALIWA VIZURI TU!!!
 
Yaani habari imeandikwa kiswahili na bado hujaielewa? Aliyetembea na mfanyakazi ni Arnold sio mkewe.
 
At least umefafanua vizur mkuu maana nilikuwa najiuliza inakuaje mke ndiye aliyesaliti kisha yeye mwenyewe akimbilie mahakaman kuomba taraka alafu hapo hapo asikitike ndoa yake kuvunjika.
 

Kwa uelewa wako kuwa Maarufu au kuwa na Pesa ndio kutopigiwa au kutokupeana Talaka?

Mwanaume dhaifu ndio hufikiri kama wewe. Kuwaza kupigiwa sijui kuachwa au kuachana ni dalili ya uoga na kuwa DHAIFU.

Alpha male hawawazi mambo hayo.
Mwanamke ni kiumbe huru anaweza kuutumia Mwili wake vile atakavyo na anahaki ya kudai Talaka na kukuacha Muda wowote
Kama ilivyo kwa mwanaume.
 
Terminator ndio alizaa na beki tatu ,kingereza kitakuwa kimekuchapa
 
Yeah!...upo sahihi
 
Rudia kusoma na kufanya tafiti juu ya mkasa huu wa Arnold.

Kuwa Makini wakati wa kutafuta taarifaa na tafiti.

Arnold ndio alizaa na House girl.

Inter views na baadhii ya vitabu vyake anakili Hilo na anawajibika kwa Tukio Hilo.

Pia soma kitabu Cha Arnold Schwarzenegger -Be useful.

Kitabu kizuri sana.
 
Nilikuwa natafuta hii comment nashangaa watu juu hawasomi au sijui ni ushabiki maandazi?kilichoelezwa ni tofauti na watu wanachojadili,ndio maana wanaambiwa wakimaliza Digrii waende Veta.
 
Hebu rudi Veta kwanza kasomee kusoma habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…