Nilichojifunza kwenye kumtafuta mke JF

Mkomage! Mkipata wasichana wakweli mnawakataa kwasababu hawana mvuto mnaohitaji.
Kweli kabisa! Wakipata wasichana wife material wanatafuta dosari za kijinga... Ooh sijui mweusi sana au ni mfupi sana, mala meno yameoza!!! Wanawakimbilia waonjaji tu
 
Mwanaume ukikutana nae tu... Kuanzia kola ya shati hadi viatu, utajua tu yukoje kiuchumi.
Hahahaaaa....nimeipenda hiyoo...kola chakavuuu uchumi ovyo? Mkuu we mkali.
 
hawa....watu..mim nishawasoma...leo anakuja natafuta mke...anaweka...porojo...natafuta mwenye phd..sijui nn...kesho anakuja na ID mpya anafungua nyingine natafuta bwana...sis...tuwaeleweje...
 
[emoji16][emoji16][emoji16]kweli ulimkomeshaa..
 
Ni vyema ila ngalia asipate xapraizi AKAPANIC AKAIBA AKASEPA
 
Kweli kabisa! Wakipata wasichana wife material wanatafuta dosari za kijinga... Ooh sijui mweusi sana au ni mfupi sana, mala meno yameoza!!! Wanawakimbilia waonjaji tu
Si kwa kutusema uko meno yaliyooza umenigusaa...
 
Mmmmmh kazi kweli kweli ,kma hapa hakuna mwanamke kwann ulishindwa kutafuta hata kwenu ulipotokea, hata ww basi utakuwa na matatizo yako bwana
 
Wanawake wa jf wakijua unaelimu na pesa unayo kinachofuata ni kuchunwa tu, kwan wengi hawaamn kama ww huna mwanamke huko mtaani unakoishi, hvyo ww unageuzwa kpato chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…