Nilichojifunza kwenye kumtafuta mke JF

Nilichojifunza kwenye kumtafuta mke JF

Mkomage! Mkipata wasichana wakweli mnawakataa kwasababu hawana mvuto mnaohitaji.
Kweli kabisa! Wakipata wasichana wife material wanatafuta dosari za kijinga... Ooh sijui mweusi sana au ni mfupi sana, mala meno yameoza!!! Wanawakimbilia waonjaji tu
 
Mwanaume ukikutana nae tu... Kuanzia kola ya shati hadi viatu, utajua tu yukoje kiuchumi.
Hahahaaaa....nimeipenda hiyoo...kola chakavuuu uchumi ovyo? Mkuu we mkali.
 
hawa....watu..mim nishawasoma...leo anakuja natafuta mke...anaweka...porojo...natafuta mwenye phd..sijui nn...kesho anakuja na ID mpya anafungua nyingine natafuta bwana...sis...tuwaeleweje...
 
Kuna mwingine alikomalia nasikia unamiliki......IPO mkoa Fulani. Kila kitu nilikuwa napinga....mwenzie nilimwambia vitu nilivyonavyo mjue kulikuwa na mwanamke nyuma maana mm sinaga mambo ya kununua vitu....yule mdada hadi sasa nasikia yupo Njombe ni fundi wa kushona viwandani na hajaolewa. Wanapenda sana mtelemko...si watafute vyao

Mwngne kaniacha hoi mwaka Jana, akaniambia niuze vitu vyote nilivyonavyo ili tutumie vyake kwakuwa nayeye alikuwa na maisha...nikasafiri nikampigia simu kwamba nimeuza xyz, akaniambia nimrushie laki 3 ili nae ale kidogo...nikawaza sana kuwa yeye anawaza nini sana sana?...nimepiga kule sipendi jitu lijanja janja na lisanii!!!!...na wala hakijauzwa kitu....hahhaa
[emoji16][emoji16][emoji16]kweli ulimkomeshaa..
 
Ni vyema ila ngalia asipate xapraizi AKAPANIC AKAIBA AKASEPA
 
Kweli kabisa! Wakipata wasichana wife material wanatafuta dosari za kijinga... Ooh sijui mweusi sana au ni mfupi sana, mala meno yameoza!!! Wanawakimbilia waonjaji tu
Si kwa kutusema uko meno yaliyooza umenigusaa...
 
Mmmmmh kazi kweli kweli ,kma hapa hakuna mwanamke kwann ulishindwa kutafuta hata kwenu ulipotokea, hata ww basi utakuwa na matatizo yako bwana
 
Wanawake wa jf wakijua unaelimu na pesa unayo kinachofuata ni kuchunwa tu, kwan wengi hawaamn kama ww huna mwanamke huko mtaani unakoishi, hvyo ww unageuzwa kpato chao
 
Back
Top Bottom