Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Tuko msibani mkuuUNakazia kama Yanga???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko msibani mkuuUNakazia kama Yanga???
Amini chiefUsiwatumainie binadamu Kamwe.Wengi mpo karibu sababu ya maslahi/kazi na watakuwa benet na wewe ukidhani ni ndugu kumbe sio.Ndio maana utakapokufa wengine hawatafika na wengine baada ya hapo ndio imekwisha.Familia yako itabaki kukukumbuka daima.Somo usiwategemee au kuwatumainia binadamu bali Mwenyezi Mungu pekee.
Pole sana dogo,Kaka yangu amefariki last two weeks.
Alikua Mtumishi wa Umma wa cheo kikubwa tu wizara fulani.
Ofcoz, siwezi kudanganya serikali iliuchukua huu msiba serious, sijajua ni kwa sababu ya miongozo yao au ni kwa sababu ya ukaribu kati ya bro na boss wake.
Anyway bro alifaraiki ghafla sababu tuliyoambiwa na Madaktari ni heart attack.
Msiba wa kaka umehudhuriwa na wananchi wa kawaida sana kuanzia wachimba kaburi mpaka waombolezaji.
Kipindi cha uhai wa kaka, kuna kipindi niliwahi kumsikia kwa maskio yangu akiongea na mpaka Raisi wa nchi kuhusu masuala fulani kaka leo kafariki kwenye mazishi yake nimesikia tu salamu za waziri wake.
Nilichojifunza, hivi vyeo vya duniani ni nonsense mbele ya Mungu. Leo kaka kafariki wanaomuogesha ni wananchi wa kawaida tu tena wa kule kijijini kwetu na wanafamilia.
Tutende mema tukiwa hai,nilichokishuhudia kule mortuary na nafasi aliyokua nayo kaka ni vitu viwili tofauti kabisa.
ivi kuna mtu ambaye sio level ya mtu flani?Pole sana dogo,
Yapo mambo ambayo ni vizuri kuyajua:
1. Kumheshimu kwa nafasi yake kila aliepo mbele yako.
2. Asali, sukari na hata chocolate ni vitamu na vinavutia lakini huwezi vitumia kama mbadala wa chumvi.
3. Mara zote wengi wamezikwa na watu ambao sio wa "level" zao (mfano huyo bro wako)
4. Ni vyema sana kuijali familia yako kwani ndo pekee utakuwa nayo hadi siku ya mwisho.
Kwa Imagination ndio, kuna watu wako hivyo, wanafeel kwamba wao wako tofauti na wengine, Binafsi katika maisha nimeona na kujifunza mambo mengi sana, Ukishakufa sio issue tena, lazima utazikwa tu, haijalishi ulikuwa nani, haijalishi una pesa au huna,Utazikwa tu.ivi kuna mtu ambaye sio level ya mtu flani?
Pole sana,Kaka yangu amefariki last two weeks.
Alikua Mtumishi wa Umma wa cheo kikubwa tu wizara fulani.
Ofcoz, siwezi kudanganya serikali iliuchukua huu msiba serious, sijajua ni kwa sababu ya miongozo yao au ni kwa sababu ya ukaribu kati ya bro na boss wake. Anyway bro alifaraiki ghafla sababu tuliyoambiwa na Madaktari ni heart attack.
Msiba wa kaka umehudhuriwa na wananchi wa kawaida sana kuanzia wachimba kaburi mpaka waombolezaji.
Kipindi cha uhai wa kaka, kuna kipindi niliwahi kumsikia kwa maskio yangu akiongea na mpaka Raisi wa nchi kuhusu masuala fulani kaka leo kafariki kwenye mazishi yake nimesikia tu salamu za waziri wake.
Nilichojifunza, hivi vyeo vya duniani ni nonsense mbele ya Mungu. Leo kaka kafariki wanaomuogesha ni wananchi wa kawaida tu tena wa kule kijijini kwetu na wanafamilia.
Tutende mema tukiwa hai, nilichokishuhudia kule mortuary na nafasi aliyokua nayo kaka ni vitu viwili tofauti kabisa.