Hili nalo ni tatizo lingine.Mimi nasema kuteua wanajeshi ni kukosa hekima, kama wanapenda kuwa viongozi wa kiraia wavue magwanda waombe nafasi hizo za chama.
Hivi hapo kwa wanajeshi kwamba kazi zake za jeshi pia anafanya?Mimi nasema kuteua wanajeshi ni kukosa hekima, kama wanapenda kuwa viongozi wa kiraia wavue magwanda waombe nafasi hizo za chama.
Inabidi lifanyike jambo la kuweka sawa katiba yetu.Bila kuwa na katiba mpya ili kuondoa upendeleo kwenye nafasi hizi, tutaendelea kuwa na nafasi nyingi za utawala sizizo za lazima, lakini zenye maslahi mazuri kwa wapatao nafasi hizo. Kibaya zaidi nafasi hizo anaachiwa rais kuteua wahusika, matokeo yake rais anageuka mgawa kake ya taifa, hadi kugeuka Mungu mtu.
Nakwambia ni kasheshe dada yangu, ni kwamba hao ambao bado wameandishwa jeshini ni wanajeshi kamili na wapo active kutii mamlaka yao yote. Na kwa utaratibu huu ni kwamba wana nguvu kwenye maeneo yao kama militant na watatoa comand kwa raia kitu ambacho siyo picha nzuri kwa utawala wa kiraia.Hivi hapo kwa wanajeshi kwamba kazi zake za jeshi pia anafanya?
Na mshahara anapata mara mbili jeshini na kwenye uDC? Au inakuaje?
Na mishahara anavuta miwili au inakuaje?Nakwambia ni kasheshe dada yangu, ni kwamba hao ambao bado wameandishwa jeshini ni wanajeshi kamili na wapo active kutii mamlaka yao yote. Na kwa utaratibu huu ni kwamba wana nguvu kwenye maeneo yao kama militant na watatoa comand kwa raia kitu ambacho siyo picha nzuri kwa utawala wa kiraia. This is not a military regime kama CCM wameshindwa kuongoza kwa kufuata sheria zetu mpaka wameamua kutuletea wanajeshi basi hawafai kabisa.
Kuhusu mshahara sijui kwa kweli maana wanasemaga ni cofidential.Na mishahara anavuta miwili au inakuaje??
Anachukua Mmoja Sasa Marupurupu 😅😄Kuhusu mshahara sijui kwa kweli maana wanasemaga ni cofidential.
Akienda kuwa dc anaenda na mshahara wake uleule hakuna kinachobadilika labda perdm kwa kazi watakazo fanyaHivi hapo kwa wanajeshi kwamba kazi zake za jeshi pia anafanya?
Na mshahara anapata mara mbili jeshini na kwenye uDC? Au inakuaje?
Okay kumbe mshahara ni mmoja, nikajua was jeshi analamba na huku analamba...ila hata hivo lazma atakua anafaidika sana especially kwenye malupulupuAkienda kuwa dc anaenda na mshahara wake uleule hakuna kinachobadilika labda perdm kwa kazi watakazo fanya
Hiyo katiba mpya inapatikana wapi?Bila kuwa na katiba mpya ili kuondoa upendeleo kwenye nafasi hizi, tutaendelea kuwa na nafasi nyingi za utawala sizizo za lazima, lakini zenye maslahi mazuri kwa wapatao nafasi hizo. Kibaya zaidi nafasi hizo anaachiwa rais kuteua wahusika, matokeo yake rais anageuka mgawa kake ya taifa, hadi kugeuka Mungu mtu.
unasuka nchi na mweka hazina wa Sabaya , mchopanga na lijuakali ?Kwanza nianze kwa kunena kuwa kwa mujibu wa muundo wa uongozi kwa katiba tuliyo nayo kwa sasa ni sahihi kuwa na wakuu wa wilaya.
Kwa vile sasa tuko awamu mpya (ya awamu ya sita) ni sahihi pia kwa Raise mpya kusuka timu yake ya uongozi. Namna mojawapo ya kufanya hivi ni kuteua viongozi mbalimbali (wakuu wa wilaya wakiwa ni sehemu ya viongozi wanaoteuliwa na Rais).
Sasa jana (19/06/2021) mkeka alioahadi Madam President ukatoka. Kumekuwa na hisia mchanganyiko juu ya mkeka huo. Wengine wakisema baadhi ya wateuliwa hawakupaswa kuwemo na wengine wakisema hawaoni tatizo kwenye mkeka ule sababu walioteuliwa ni Watanzania wenzetu hivyo sio mbaya nao wakipata nafasi ya kutuongoza. Ni katika mchanganyiko huu ambapo wengine wanadhani ni muda sasa vyeo hivi kuangaliwa upya (kama bado vina tija kwa maendeleo ya Taifa katika enzi hizi).
Nilichojifunza katika teuzi hizi kulingana na "reactions" za wadau wengi ni kwamba;
Mosi: Tuna tatizo kubwa la ajira nchini (huu ni ukweli wa wazi kabisa). Na hivyo wengi wanasubiria nafasi hizi kama sehemu za kupatia ajira. Hii inafanya hata wanaopata nafasi hizi kupambana kujinufaisha badala ya kuwatumikia wananchi waungwana. Hivyo basi mtu anapopata hii nafasi watu wanakuwa na kawivu flani hivi kuwa mwenzangu kapata ajira wakati mimi nipo nipo tu. Hii huzidisha kelele nyingi kutoka kwa wananchi (hasa vijana wasio na ajira).
Pili: Kusema ukweli hizi nafasi za uteuzi zina masilahi mazuri (tofauti na nafasi nyingi za utumishi wa umma mf. Ualimu, uuguzi, nk.). Hii huwafanya watu waone kwamba wanaopata hizi nafasi wameula (kitu ambacho kwa wenye maisha ya kawaida ni kuna ukweli). Hii huwafanya watu wengi wapambane kupata hizi nafasi. Hivyo kawivu kanakuja kuwa kwanini apate yeye na sio mimi?
Way forward??
Kwenye hoja ya kwanza nashauri kuwa hizi nafasi zisiwe sehemu ya kulipana fadhila na kupeana ulaji kishkaji. Zitolewe kwa watu ambao kweli wamethibitika kuwa wana spirit ya kuwatumikia wananchi.
Kwenye hoja ya pili nashauri masilahi ya watumishi wa kawaida na wale wa kuteuliwa na wa kisiasa yaangaliwe vizuri. Pengo kubwa la kimasilahi lililopo kati ya haya makundi yanashawishi watu wa upande huu kutamani kwenda upande ule. Kusiwe na pengo kubwa la masilahi kati ya watumishi wanaojiita wa umma (wakiwemo wale wa kisiasa). Hii itapunguza vishawishi vya watumishi kutamani kupata hizo nafasi ambazo kwa sasa zinatambilika kama za ulaji.
Nawasilisha.
Wewe utakuwa ni mhamiaji haramu.Hiyo katiba mpya inapatikana wapi?
CCM tumesema katiba siyo ilani yetu wala kipaumbele chetu,
Mama Samia tumekutuma ukajenge nchi siyo kujenga hoja za katiba mpya
Ahhhaaaa kazi kweli
Sasa mkuu, si ndio wameonekana wanaweza? Eti kagusa makundi yote. Ninavyojua hizo nafasi sio za uwakilishi bali ni za kutoa maamuzi. Sasa dahhhh, ni hatari hii. Tuwape muda labda.unasuka nchi na mweka hazina wa Sabaya , mchopanga na lijuakali ?