mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
No time to waste. Time is a factor of productionHao jamaa ni mchaka mchaka , ukifanya nao kazi .
Shangaa wakati wapo wamejaaKwanini "hata single mother"??
Umri umeenda nakaribia 40 sasa kuishi hivi inaonyesha TU Mimi mhuniKwanini "hata single mother"??
Kwanini unajikatia tamaa mkuu, wapo mabinti wasio single maza unaoweza kuanzisha nao familia.Umri umeenda nakaribia 40 sasa kuishi hivi inaonyesha TU Mimi mhuni
Duuh bado sana umri wako.Umri umeenda nakaribia 40 sasa kuishi hivi inaonyesha TU Mimi mhuni
Kwanini unajikatia tamaa mkuu, wapo mabinti wasio single maza unaoweza kuanzisha nao familia.
Ila kila la kheri kwa hitaji lako.
Sijakataa tamaa ila Kila ninakopita nakutana na single mother, vibinti ninavyokutana navyo ni vinanionyesha immaturity sana, here nahitaji mke mwenye haya mambo matatu TU 1. Awe na vision yake na aweze join vision yangu 2. Awe mchapa kazi tusaidiane kutafta( sitaki muajiriwa ) 3. Akubali nafasi ya kuwa mke na aone watoto wangu niliozaa kuwa ndio watu muhimu sana kuliko hata ntaokazaa naye , maana sip tayari Hawa jamaa zangu wanyanyisike najua nilichokipitia kwenye familia yangu baada ya mzee wangu kuondoka dunianiKwanini unajikatia tamaa mkuu, wapo mabinti wasio single maza unaoweza kuanzisha nao familia.
Ila kila la kheri kwa hitaji lako.
Nguo najua na navaa vizuri, shida moja TU nataka mwanamke ambaye atanisaidia kusimamia kazi zangu ( awe mpambanaji )na pili awaheshimu watoto hawa ninaoshi nao hapa kwangu ,Duuh bado sana umri wako.
Au hujipendi,uvai vizuri ukapendeza?
Kwa umri huo unaweza pata binti hata wa 22-27 ukaoa.
Ha ha ha jamaa unataka niandike kama vile nafanya drafting ya documents ya mahakamani ,Kwa mwandiko huu,ulistahili kutengwa na familia.
Wanapatikana tu usikurupuke.Nguo najua na navaa vizuri, shida moja TU nataka mwanamke ambaye atanisaidia kusimamia kazi zangu ( awe mpambanaji )na pili awaheshimu watoto hawa ninaoshi nao hapa kwangu ,
Umenipa funzo kazi za kuajiriwa zinapoteza mda sanaMwaka 2011 nilipata kazi na kuajiriwa as mwalimu serikalini hiyo ni baada ya kusota sana kutafta ajira ya fani yangu ya Sheria . Nilikula msoto sana kupata ajira ya sheria , no connection in town huna ajira zaidi ya kufanya KAZI ya kujitolea kweny law firm .
pamoja na familia yangu kuwa na biashara ,mashamba ,magari , B mkubwa hakuwahi niamini na kuniweka mbali na miradi ya home kiasi kwamba nilianza kuhisi mimi sio mtoto wa ile familia why mzee wangu tangu afe natengwa sana na kuwekwa mbali na mali za marehemu baba , wakati wa uhai Mzee mimi nilikuwa karibu sana na mzee,kuna mali mfano Kuna kuna nyumba na shamba la miti nilikuwa nalifahamu mimi tu na mzee alinionyesha na kunitambulisha kwa watu waliokuwa wanalitunza hiyo ni mufundi( siwezi taja Kijiji kwa sababu binafsi) kutengwa na bi mkubwa , kaka na dada zangu kukaa kimya kulinipa jibu kuwa mimi so sehemu ya ile familia either mzee alinizaa kwa mwanamke tofauti au Kuna namna ,hili jambo niliwauliza sana baba wadogo , wajomba na mashangazi jibu lilikuwa nambiwa mimi bado sijakomaa kabisa kuendesha mali . ( Familia yangu nimewasamehe japo nashindwa kusahau)
Hiyo hali ilinafanya nihangaike Sana na Connection nilizokuwa nazo ni zile TU za majeshini , huko ningepata kazi mapema ningetaka lakini sikutaka kabisa kazi ya kuvaa uniform na kuwa mtu wa kusema yes, niliamini kazi za huko haziwezi fanya nitimize ndoto ZANGU, niliapa sitakuwa askari na imebaki hivo. Baada ya kupata ajira ya ualimu i learnt at first kuwa nimepata KAZI isiyokuwa sahihi kabisa kwa ustawi wangu na familia ninayotaka kuwa nayo . So niliamua kutafta side work na nilingia kwenye biashara na kilimo siriasi sana . Mtaji niliutoa mufundi baada ya kuvuna miti haikuwa pesa nyingi ilikuwa kama milioni 20 ya kipindi kile .
Nilitumia platform ya Mzee na kukutan na watu aliokuwa anafanya biashara nao enzi zake , katika pambana yangu nimewahi fanya kazi na mhindi na mchina na ndicho nilichojifunza , 1. Jamaa ni waanifu na kifupi wamenyooka sana ,katika kazi Wana lugha Moja TU 2. Wanachapa sana kazi mfano wachina ninao wafahamu Mimi aisee hawana mapumziko , sijui weekend ni kazi kazi 3. Wana imaani sana 4. Wapo makini sana kuchagua watu wa kufanya nao kazi na marafiki( wengi Wana marafiki wachache sana. Japo mafanikio ya kiuchumi Yana siri nyingi ila tunaweza sikiliza mawaz ya huyu Mzee na kujifunza .
Mimi binafsi sio tajili ila sipo kabisa kwenye list ya watanzania maskini, najaribu kunyoka sana kwenye KAZI zangu ila nimeshindwa kabisa kuwa mkweli kwenye mapenzi huko nimefeeli kabisa na hili linanitesa , japo sasa nimepanga kuoa rasmi hata single mother.
Kazi za kuajiriwa ni nzuri zinakupa mwanzo mzuri sana , mfano Mimi nimeanza kulima viazi kipindi kile baada ya kuvuna miti , nusu ya pesa nilipeleka shambani na nusu nilipeleka kununua nafaka , ila pesa ya kula nilikuwa natumia mshahara , na hata nimekopa mara kazaa kufanya vitu flani , so sio mbaya kufanya KAZI ya kuajiriwa ila side hustle ni muhimu sana ,Umenipa funzo kazi za kuajiriwa zinapoteza mda sana
Huwez fanya mambo makubwa na mshahara wa mwezi
Hongera kwa maamuzi
Mchina mmoja alinipa Dili ya tofali na kumpatia mchanga site kwake , hapo kachuka tenda ya kujenga engineer camp anauliza unaweza leta tofali elfu thelathini na mchanga Kila siku zije elfu mbili , aisee niliteseka sana , anakulipa na kama Kuna shida anakujulisha ila usiletee tofali sijui mbichi, sijui haieleweki mnakosanaNo time to waste. Time is a factor of production
Mkeo akubali watoto uliozaa nje ni wa muhimu sana kuliko atakaozaa yeye?Sijakataa tamaa ila Kila ninakopita nakutana na single mother, vibinti ninavyokutana navyo ni vinanionyesha immaturity sana, here nahitaji mke mwenye haya mambo matatu TU 1. Awe na vision yake na aweze join vision yangu 2. Awe mchapa kazi tusaidiane kutafta( sitaki muajiriwa ) 3. Akubali nafasi ya kuwa mke na aone watoto wangu niliozaa kuwa ndio watu muhimu sana kuliko hata ntaokazaa naye , maana sip tayari Hawa jamaa zangu wanyanyisike najua nilichokipitia kwenye familia yangu baada ya mzee wangu kuondoka duniani
Umekurupuka kiongozi, watoto wangu ni kila kitu , so mke ajue Hawa ni Kila kitu na hata akizaa yeye ni watoto, sio niwatenge Hawa eti kisa nimezA wengine, wanawake wapo hivi anakubali kuishi na watoto wa mwanaume kama Hana watoto once akipata wake hawa wengine wanageuzwa ni adui , na hicho utakijua siku ukipita kwenye familia kama zetuMkeo akubali watoto uliozaa nje ni wa muhimu sana kuliko atakaozaa yeye?
Kumbe familia yenu walikuwa sahihi. Hauna uelewa wa kusimamia biashara zao ungekuwa na misplaced priorities. Huzingatii uhalisia unakurupukia maamuzi. Eti mke azae watoto kwenye familia na wawe second option kisa amekuta umezaa mbali mbali uko.
Kama una umri huu unawaza hivi, na hapo umeishakomaa. Ilikuwaje kipindi haujakomaa.
Mimi nikiwa na miaka 40 nilioa binti mdogo wa miaka 23, miaka ishirini baadae tuko vizuri na life inasonga vizuri tu, usikate tamaa tafuta binti uoe achana na single mothersUmri umeenda nakaribia 40 sasa kuishi hivi inaonyesha TU Mimi mhuni