Nilichojifunza mimi binafsi kwa watu, ndicho huyu mzee anasema

Mama wa kambo ila nikuambie tu hata mwanamke awe na roho nzur ama tabia nzur vip bado kuna ule ubaguzi lazima Afanye kwa watoto
 
Walimu waliopo hapa JF watakushukia sasa hivi, look at how you are despising a noble profession wakati ndio ilikupa akili ya side hustles.
Ninaiheshimu sana fani ya ualimu ila kiukweli kabisa ni kazi yenye kipato duni ambacho kwa mtu mwenye ndoto kubwa itakuchelewesha sana. Ualimu ni kazi ambayo itakusaidia kuwa na nyumba moja ya kuishi, gari dogo na mradi mdogo wa kukupa labda 30k kwa siku. Na hadi uwe na hiyo nyumba, gari dogo na ka-mradi ushasota miaka mingi.
 
In
 
Umeandika watoto wako uliozaa nje ni first priority kuliko hata ambao utazaa na huyo mke utakayeoa.

Kwa point hiyo, utapata wanawake mapuuza tu. Hakuna mwanamke wa maana kwa sifa zote ulizotaja then atake watoto wa kuzaa mwenyewe wawe second option, first priority ni watoto uliozaa na wanawake mbali mbali. Kwanza kwa akili yako unaona hizo ndoto zinawezekana?
 
Aloo kumbe na wewe una timu yako halafu unataka yeye ajali timu yako kuliko yake..
Ni rahisi kupata Ke asie na mtoto akawa utakavyo ila sio single maza.

Mi nilidhani wewe huna watoto, kama unao, the way unawapenda wanao basi nae anawapenda wanae vivyo hivyo.
 
Familia iliyokususa iko wapi sasa?? Mawasiliano yapoje baina Yao na wewe ??

Je una lipi la kujifunza kwenye mikaushiano ya namna hiyo kwenye familia hasa ndugu wa tumbo moja ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…