Nilichokigundua Kutoka Simba Mpya - Simba 0 - 1 TP Mazembe

Tatizo litakalo kuwa linawatafuna ni matarajio ya yale waliyo yafanya last season.

Yaani hilo pengo ni kubwa mno kuzibwa na hawa waliokuja.
Umeniadvantaje eehn ngoja tar 25 mtajua hamjui
 
Kwa Yanga yenu mnajitetea timu haina muunganiko ila kwa Simba hamulioni ilo!
Nilidhani kuwa ssimba inaboresha kikosi na haijengi kikosi.

maana ndivyo mlivyosema kuwa usajili wenu sio wa kujenga bali kuboresha. sasa tangu lini anayeboresha anangoja muunganiko.?
 
Yanga imekuwaje tena mkuu kapigwa nyuma na mbele,,,namaanisha ugenini na nyumbani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
baba akifa na ukimwi ujue mama nae anafuata
 
Mbona haumtaji AUCHO na Makambo walau hata DJUMA? 😂 😂 😂
Huna lolote we utopolo yani baada ya kupotea leo kwenye mashindano ya wanaume umeamua kutuletea uchambuzi uchwara ili tu ujipoze,, eti banda atakuwa injury kama dube,, sawa mtabiri na roho yako mbaya iliyochanganyika na wivu
 
Huna lolote we utopolo yani baada ya kupotea leo kwenye mashindano ya wanaume umeamua kutuletea uchambuzi uchwara ili tu ujipoze,, eti banda atakuwa injury kama dube,, sawa mtabiri na roho yako mbaya iliyochanganyika na wivu
Au ndio unataka kutufariji mashabiki wa simba kuwa Banda kaziba pengo la Miqquisone? 😂 😂
 
Kwani ukiwa kwenye siku yako ni lazima uwe na ghadhabu eti? 😂 😂
Nimekujibu kama ulivyouliza
Btw wale watoto wanaija wamekupiga nje ndani mbele ya msukule
 
Simba toka izaliwe haijawahi kuwafunga T.P Mazembe.

Tulicheza na T.P Mazembe katika tamasha la Simba Super Cup na hatukuwafunga tukiwa na Chama na Miquesson.

Kwa sasa Simba tunasumbuliwa na urafiki wa kocha Gomes na Mugalu.
Urafiki wa hawa watu wawili ni wa kutiliwa mashaka.
 
Mumekeketwa huko Nigeria
 
Nakubaliana nawe sana

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Return of champions tunaomba na tathmini yako ya nigeria..
Utani pembeni.
Kwa mtu anayejua mpira kijana kanoute kwa mechi yake ya kwanza ya upinzani simba kaonyesha utulivu wa hali ya juu, hana papara, pasi za uhakika na ni pasi za mbele, mlinganishe na chama mechibyake ya kwanza kubwa akiwa simba pia jamaa ni box to box sio namba 10 kama chama...
 
Hahahahh
 
Kwa Yanga yenu mnajitetea timu haina muunganiko ila kwa Simba hamulioni ilo!
Kwa hiyo pamoja na preseason mbili Morocco na Tz Arusha na mechi kadhaa za kujaribia bado hamjaunganika na nyie? Mimi nilifikiri hili tatizo liko upande mmoja kumbe kotekote?
 
Yaani huyu jamaa hizo comparisons zake zipo ant-clockwise kabisa nikadhani atamfananisha Kanoute na Mzamiru maana kwa game ya jana alikua na majukumu ya Mzamiru. Bora hata ungesema Bwalya hawezi kua replacement ya Chama sababu jana alikua na majukumu ya kama ya Chama.
 
Kucheza vizuri ndio nini wakati overall possession ilienda kwa TP Mazembe?
Hawa tarehe 25 hatuwaachi kabisa

Ninachoona hapa ni kwamba umeshajengeka mtazamo kuwa Simba anatakiwa afanye vizuri, akifanya vibaya kuna jambo la kuchunguzwa, lakini Yanga huwa hakuna kipya, maana tayari huwa anatazamiwa kufanya vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…