Mmmh nilikuw naona tu kile kipindi kuna maneno ya kutoka na diamond alivokw akijishebeduaHamna wala sio mswahili,Tena Lulu ni mswahili hatari na anachamba mange anasoma anajifanyaga kutulia tu akishapata danga la maana
Hamisa ametukanwa na anatukanwa sana na team Dai na team Lulu Ila hawajahi kuwajibu hata Siku moja!
Ila yule ni mzazi mwenzie jamani
Mi nimemsifu sana tu kwa kweli!
Nimeizereu ghaflaNdio mkuu
hamna kuna muda una give up haswaa kama ushamchoka!Shost mm mwenyewe siwezi asee, ila wanawake wengine kupretend kwingi ila kiuhalisia anaumia
hamna hivi lulu anavyomtambia mwenzie jamani hamuoniMmmh nilikuw naona tu kile kipindi kuna maneno ya kutoka na diamond alivokw akijishebedua
majizo ila lulu nae nyakunyaku tu![emoji57] [emoji57] daah!hawezi kukaa bila bwana!Kwanza nan alomuacha mwenzie
duuuhh!so watoto kama wa ruge!??[emoji15]Hapana pale c kasemea atakayekuja wa lulu maana kuna tetesi kuwa lulu Ana mimba yake
Tafadhali title ya hii mistari mkuuMwenye shati la kitenge lenye mabaka ya kenge mziki mzito kwa mabronzooooo machiziii walimu na wanafunzi ni kazeze ni kazeze.
kisa na mkasamajizo ila lulu nae nyakunyaku tu![emoji57] [emoji57] daah!hawezi kukaa bila bwana!
wa[emoji15] [emoji15] ??kisa na mkasa
ana timu ya mpira wa miguu amaduuuhh!so watoto kama wa ruge!??[emoji15]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] na reserve juu!!ana timu ya mpira wa miguu ama
mpira wa kikapu[emoji23][emoji23][emoji23]