Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

Hamna wala sio mswahili,Tena Lulu ni mswahili hatari na anachamba mange anasoma anajifanyaga kutulia tu akishapata danga la maana
Hamisa ametukanwa na anatukanwa sana na team Dai na team Lulu Ila hawajahi kuwajibu hata Siku moja!

Ila yule ni mzazi mwenzie jamani
Mi nimemsifu sana tu kwa kweli!
Mmmh nilikuw naona tu kile kipindi kuna maneno ya kutoka na diamond alivokw akijishebedua
 
Mwenye shati la kitenge lenye mabaka ya kenge mziki mzito kwa mabronzooooo machiziii walimu na wanafunzi ni kazeze ni kazeze.
 
Naona kama ajifanya mjuvi wa kila kitu hali ya kuwa hajimudu kiivyo!!?
 
Iyo picha n dongo! Jamaa kainama kazomewa kainuka kachekewa kinafki! inamaana lulu ana m ng'ong'a msela
 
Back
Top Bottom