me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
- Thread starter
- #21
Mmmh nilikuw naona tu kile kipindi kuna maneno ya kutoka na diamond alivokw akijishebeduaHamna wala sio mswahili,Tena Lulu ni mswahili hatari na anachamba mange anasoma anajifanyaga kutulia tu akishapata danga la maana
Hamisa ametukanwa na anatukanwa sana na team Dai na team Lulu Ila hawajahi kuwajibu hata Siku moja!
Ila yule ni mzazi mwenzie jamani
Mi nimemsifu sana tu kwa kweli!