Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

una matatizo.... humu kuna majukwaa kibao hili ni special kwaajili ya hizi mambo hivyo viwanda vyako nenda jukwaa la siasa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] safi mine!
 
nyie mmepotea njia upupu wa histgrm pelekeni uwazi kama uko kumejaa.
 
una matatizo.... humu kuna majukwaa kibao hili ni special kwaajili ya hizi mambo hivyo viwanda vyako nenda jukwaa la siasa
Siasa na viwanda wapi na wapi...hili jukwaa sio la kudiskas bali ni kuongelea vitu vya maendeleo kwa hao watu maarufu...mkiendelea hvyo basi sitoshangaa siku mkianza kudiskas bikini atakayovaa hamisa eti kavaa ya bei chee..inawasaidia nini?..angalau mngesema ''NJIA ANAZOTUMIA HAMISA KUJIPATIA MAENDELEO ZINZ FAA KUIGWA AMA HAZIFAI?''.....
 
Nenda kwenye jukwaa la siasa kajadili na wenzio ayo ya tanzania ya viwanda sisi wajinga tuache tujadili vya ujinga mnakera sana kwan mnalazimishwa kuingia umu
Huu m chezo hauhitaji hasira ww...
 
Majizo ana watoto wote hao,squad,caesar....au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…