Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

una matatizo.... humu kuna majukwaa kibao hili ni special kwaajili ya hizi mambo hivyo viwanda vyako nenda jukwaa la siasa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] safi mine!
 
nyie mmepotea njia upupu wa histgrm pelekeni uwazi kama uko kumejaa.
 
una matatizo.... humu kuna majukwaa kibao hili ni special kwaajili ya hizi mambo hivyo viwanda vyako nenda jukwaa la siasa
Siasa na viwanda wapi na wapi...hili jukwaa sio la kudiskas bali ni kuongelea vitu vya maendeleo kwa hao watu maarufu...mkiendelea hvyo basi sitoshangaa siku mkianza kudiskas bikini atakayovaa hamisa eti kavaa ya bei chee..inawasaidia nini?..angalau mngesema ''NJIA ANAZOTUMIA HAMISA KUJIPATIA MAENDELEO ZINZ FAA KUIGWA AMA HAZIFAI?''.....
 
Majizo ana watoto wote hao,squad,caesar....au
 
Back
Top Bottom