Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nenda kwenye jukwaa la siasa kajadili na wenzio ayo ya tanzania ya viwanda sisi wajinga tuache tujadili vya ujinga mnakera sana kwan mnalazimishwa kuingia umuHili jukwaa ni jukwaa lipi maana nahisi nimepotea njia...acheni kujadili ujinga anzeni kuwaza Tanzania ya viwanda inafanikiwaje....