Pole sana yaani ujue huu ni ujinga bado uufuatishe? Kuwa na msimamo wa kubaki tofauti kama kuliko kuiga huo unaouita ujinga.
Watanzania wengi kama wewe mna matatizo ya kutoweza kusoma kwa ufahamu.
Na pia mnapofushwa na mihemko ya ushabiki wa kuchagua pande mpaka mnashindwa kujadili hoja.
Unafanya logical fallacy ya logical non sequitur.
Sijatetea yeyote aliyefuatisha ujinga. Nikikutaka unioneshe hapo niliposema hilo, huwezi.
Nimesema Apple ndio walioanzisha ujinga, kitu ambacho mpaka sasa hujaweza kukanusha, umekiacha, una debate kitu ambacho hata sijakisema.
Umeacha hoja niliyoitaja, halafu unataka kunisema kwa hoja ambayo hata sijaitaja.
I did not exonerate anyone for following Apples steps, I merely pointed out that Apple is the pioneer in this buffoonery.
Sasa kwa guluguja asiyejua kusoma kwa ufahamu anayeenda kwa mihemko ya ushabiki wa teams, hapo atasoma anavyotaka yeye, na mimi siko hapa kumfundisha kusoma.
Nina mashaka kama una uwezo wa kufuatilia mjadala hoja kwa hoja.