Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Mambo mengine ni ushamba. Simu ununue mwenyewe, uje kulalamikia watu huku!

Kwanini hukufanya research kabla ya kununua? Na kama umeona haifai, si ubadili uchukue inayokufaa kwa mahitaji yako kwanini uje kutangaza humu?
We ni kilaza statement yako haina mantiki, unadhami unaweza kuperuzi mtandaoni ukapata ile real experience ya kua na simu mkononi? You can’t analyze what you didn’t apply , ndo maana baada ya kuoshi pamoja ndio watu wanajuan kiundani. Kasome tena research af urudi
 
Kwahiyo wewe mwenye akili research hufanyika mitandaoni peke yake? Kwa akili hii hiyo iPhone imekuzidi akili.
 
I didn’t expect to miss such trivial features, ulitaka nikaazime simu ya mtu nikae nayo kua naitest?
Twende taratibu, don’t lose your temper.
Unajua maana ya simu kuwekwa as display kwenye maduka ya simu? Kazi yake ndio kama hiyo uliyotakiwa kufanya.

Ungeenda uangalie features zote hizo kabla ya kununua. Huitaji kukaa na simu ndipo ujue inakufaa au lah.
Simu sio mke/mume useme itaficha features zake kukuhadaa.
 
Huyo jamaa hiyo simu hajui kuitumia kabisa na inaonekana kainunua baada ya kusikia hadithi sehemu hivyo yuko kwenye mafunzo ya simu yake ameona ajifunze kwa kutoa lawama….! Unaweza kukuta hata kuwasha tochi hadi leo hajajua au kurudi back 😂😂😁😁😁😁😁
 
Mambo mengine ni ushamba. Simu ununue mwenyewe, uje kulalamikia watu huku!

Kwanini hukufanya research kabla ya kununua? Na kama umeona haifai, si ubadili uchukue inayokufaa kwa mahitaji yako kwanini uje kutangaza humu?
Research gan angemuomba mtu atumie Kwanza ndo akanunue au
 
Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.

1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku schedule message
3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly na huwezi kuzi clear kwa pamoja.

In short apple complicate everything.

Kwa umri wangu mdogo nilianza kutumia smartphone 2010s baada ya kuachana na kitochi.

wakati huo nilianza kutumia android devices kama tecno, huawei, infinix, samsung, xiaomi na Oppo kidogo sana.

mwaka 2019 niliamua kuhamia iphone, hadi hivi ninavyozungumza hakuna wa kunitenganisha mimi na iphone.

Lakini uhakika ni kwamba zaidi ya 75% ya watumiaji wa iphone kwa mara ya kwanza huwa wanaona wenge sana mwanzoni.
 
Huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom