MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mimi ni muumini wa dhehebu la SAMSUNG. Hizo iPhones nilimnunulia aliyekua mpenzi wangu enzi hizo iphone 7 bado iko chatini. Maskini wengi sana nchini Tanzania hununua iPhones.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaan mkuu unapozungumzia performance ni uwezo processor na ram sasa hii sikuiz hakunaga kampuni ya kudharau kwenye performance sema bei yako ndo inaamua unaipata simu ya uwezo ganLabda kwa manamba ya uongo uongo ila kwenye reality performances iphone ni moto wa kuotea mbali kaka sio iphone tu apple device ni next level chief
Apple ndio walianzisha ujinga wa kuondoa SD card slots na audio jack.Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.
1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku schedule message
3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly na huwezi kuzi clear kwa pamoja.
In short apple complicate everything.
Mtaalam(mkuu)Fafanua.Africa ifone ni kwa ajili ya showoff tu.
Nimetumia zote..android ni bora zaidi
Nimecheka kwenye kuwasha tochi…Huyo jamaa hiyo simu hajui kuitumia kabisa na inaonekana kainunua baada ya kusikia hadithi sehemu hivyo yuko kwenye mafunzo ya simu yake ameona ajifunze kwa kutoa lawama….! Unaweza kukuta hata kuwasha tochi hadi leo hajajua au kurudi back 😂😂😁😁😁😁😁
Kiufupi ni kama hiyo feature kwenye iphone keyboard bado ni complicated labda kama wameweza kufix kwenye matoleo yao ya hivi karibuni au utumie third party appWenyewe wanaoprogram wanasema iphones zimetengenezwa zikiwa perfect,jamaa anauliza number raw ilipo,kama inapatikana ktk dynamic island si mnasema tu!!!!!
Hizi simu zina addiction..mwaka 2019 niliamua kuhamia iphone, hadi hivi ninavyozungumza hakuna wa kunitenganisha mimi na iphone.
Lakini uhakika ni kwamba zaidi ya 75% ya watumiaji wa iphone kwa mara ya kwanza huwa wanaona wenge sana mwanzoni.
Apple ndio walianzisha ujinga wa kuondoa SD card slots na audio jack.
Simu zao ni kama jela fulani hivi.
Kama unajionea ubahili 6900 we ni hupendi mziki aisee.watu wa iphone wanapoteseka ni kwenye mziki, spotify 6900, audiomack ni ya hovyo sana....
bora nibaki android niendelee kupirate mziki
Mimi ni muumini wa dhehebu la SAMSUNG. Hizo iPhones nilimnunulia aliyekua mpenzi wangu enzi hizo iphone 7 bado iko chatini. Maskini wengi sana nchini Tanzania hununua iPhones.
mimi mchaga pure ubahili lazima😂Kama unajionea ubahili 6900 we ni hupendi mziki aisee.
Tunaopenda tunalipia kiroho sayona
Mambo ya kutumia mi free app unakutana na adds sitaki mie.
Iphone ndio walioanzisha kuondoa audio jack. Najua Samsung wamefuata, lakini Apple ndio walianzisha ujinga huo.Well samsung wanaelekea huko
Kuanzia A23,33,53 mpaka alina S23 zote hazina headphone jack
Wenyewe apple walifanya hivyo wakiamini wanaweza expand iphone storege so no need for sd cards
Ukiwa unalipia lipiamimi mchaga pure ubahili lazima😂
afu iphone battery life naskia ni kamzozo
wanaongoza kwa kupiga picha vyooni mbele za vioo. Wamiliki wa iphone wanatumia muda mwingi vyooni kuliko hata nzi na mende.Kwamba wamiliki iphone hawapendi utoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kuna watu wana utoto kama watu wa iphones??
Mfano hapa badala ya kumuelekeza number raws inakaa wapi ktk keyboard umeishia kujishebedua tu!!!!
Lingekuwa tatizo ni la android kungekuwa na watu kibao wameshamuelekeza.
wacha nitafute hela niache visingizioUkiwa unalipia lipia
Unapatamo na miofa
Hapa nililipia mwezi huu mwanzoni sijui
Ona nina liofa la Nov yote mpk dec 7 hapo nalipia tena.
Depends na series
Hii niliyo nayo nikichaji home mpk nirudi tena nyumbani ndio nachaji.
Nilikuwaga na 11
Nachaji nyumbani.. alasiri pia nachaji mpk kesho yake
View attachment 2798974
Umenunu os ya iphone 5s kwenye cover ya iphone 11Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.
1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku schedule message
3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly na huwezi kuzi clear kwa pamoja.
In short apple complicate everything.