Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

🤭🤔🤣
Makubwa,kazi ipo
Mbona tuna kazi....
Kwahiyo hata cm iphone tusitumie...🤣
Maana Kwa mfano , animal print mi ndo basi Malaya haswaa
Maana Ninavyopenda chuichui🙌
Wewe ni Mimi Sasa ndio maana hapo kwenye animal prints palinichosha,ghafla nikasikia na I phone Daaah hatujamaliza bado kusikia🤣🤣🤣nitakuwa naku update kila nikisikia
 
nimetumia forum zote android na ios. kwangu mimi naimiss iphone kwasababu ya in app usage overtime. android apps zinajaa huwezi kukaa na simu miaka 3 bila kuformat. labda kama unaweka apps chache sana.. unadownload whatsapp leo after 2 hours app size yake imekua 1Gb ,, hapo ina affect ram an rom ya simu hata kama una processor nzuri. which hukuti kitu kama hicho kwa iphone
 
STOCKS
FACETIME
APPLE TV
APPLE WATCH
WALLET
HEALTH
ITUNES MUSIC ( wanaona isiwe tabu tutumie audiomack kitonga 😁)
Situmii audiomack aisee
Ule ni uchafu tu, yan mziki unaplay sambamba na miadd kibao? Nilishindwa
Natumia Boomplay premium… so futa Itune

Face time naitumia..

Apple watch si kwamba hatutumii, ni vile hatujanunua saa za apple. Yale ma smart watch sijawahi jaribu.
Rafiki angu anaitumia… so hii sio sababu.

Wallet naitumia + m pesa visa card

Health?? Nikishaangalia my daily steps zinanisaidia nn mie sio mwanariadha? Wapo wanaotumia

Stock.. wacheza Forex watumie tu
 
Back
Top Bottom