binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kwenye android waulize wanatumia features Zote ? Some of us simu ni kwa ajili ya basics tu, be it android or iOS.Situmii audiomack aisee
Ule ni uchafu tu, yan mziki unaplay sambamba na miadd kibao? Nilishindwa
Natumia Boomplay premium… so futa Itune
Face time naitumia..
Apple watch si kwamba hatutumii, ni vile hatujanunua saa za apple. Yale ma smart watch sijawahi jaribu.
Rafiki angu anaitumia… so hii sio sababu.
Wallet naitumia + m pesa visa card
Health?? Nikishaangalia my daily steps zinanisaidia nn mie sio mwanariadha? Wapo wanaotumia
Stock.. wacheza Forex watumie tu
Watu utasikia wakiwaambia watu “live your life” but when comes to ios users mishipa inawatoka, kwani what happened to our motto “live your life”??? 😂
Iphone tutatumia tu hata kwa kuupgrade, naamini walioweka upgrade sio wajinga.