Kwenye uwanja wa smartfoni hakuna iiliyowahi kunisismua,iOs ishakuwa kama mdosho kila demu anayo, android ukiachana na matumizi basic hakuna jipya la kutisha,
sema wabongo tunakaushamba kwenye hizi brand kubwa ila ukiangalia performance kuna simu nyingine ziko vyedi ukikompare na brand yako ungesave hata 40%.
sina ushabiki na simu yoyote ushauri wangu tuache ushamba,
angalia unachokihitaji kwenye simu camera, processor, network coverage, upgaradable OS na mambo mengine ya msingi kuzungumzia brand ni ushamba wa kutojua matumizi ya simu, yaani unaweza kuta manzi anajibana, anadanga, anapiga mizinga ili anunue ayifoni lakini akishainunua hana matumizi yanayoendana na gharama na usumbufu aliopitia kutafuta hiyo simu, anaweka makava ya midoli na kuitoa toa mbele za watu, na kupiga selfie nje na hapo hamna cha ziada ambacho angekikosa kwenye tekno y3.
USHAMBA TU mi natumia nokia ya tochi,