Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Hivi dimpoz huwa haziambukizwi🤣🤣🤣?🤣🤣🤣🤣🤣 hujanikuta niki🍷 kama Shumileta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi dimpoz huwa haziambukizwi🤣🤣🤣?🤣🤣🤣🤣🤣 hujanikuta niki🍷 kama Shumileta
Acheni kutukalia kooniWe ni mjanja unajua baadhi ya apps kuzitumia, wengine sasa ni kizungumkuti.. unaweza kumuuliza kazi ya hii app ni ipi anakwambia hajui yeye kaikuta tu
Naijua babe, halafu nimeona maelekezo yako ya kuhusu kuongeza na kupunguza mwanga kwenye torch ikabidi nifanye majaribio maana nilikuwa sijui 🤣🤣🤣.Kuna hii notes uliisahau 🤣
Naitumia kuandika ya moyoni.. na pia naitumia kuscan document.
Unaijua? Ms eyes
Mail situmii.. sbb natumia gmail na outlook
View attachment 2799221
HIYO MAIL ALTERNATIVELY UNAWEZA UKAWEKA AKAUNTI YAKO YA GMAIL NA OUTLOOK ukaendelea kula maisha, so hamna haja ya kuinstall app ya gmail au outlook, nilikuwa nafanya hivyo kipindi natumia iPhone....Kuna hii notes uliisahau 🤣
Naitumia kuandika ya moyoni.. na pia naitumia kuscan document.
Unaijua? Ms eyes
Mail situmii.. sbb natumia gmail na outlook
View attachment 2799221
wewe upo vizuri somehowAcheni kutukalia kooni
Vitu tunavitumia banaa wee
Haya ITune hiyo jana nimelipia kitu flani.
View attachment 2799235
MKUU UNAFANYA HIGH PRESSINGKwenye uwanja wa smartfoni hakuna iiliyowahi kunisismua,iOs ishakuwa kama mdosho kila demu anayo, android ukiachana na matumizi basic hakuna jipya la kutisha,
sema wabongo tunakaushamba kwenye hizi brand kubwa ila ukiangalia performance kuna simu nyingine ziko vyedi ukikompare na brand yako ungesave hata 40%.
sina ushabiki na simu yoyote ushauri wangu tuache ushamba,
angalia unachokihitaji kwenye simu camera, processor, network coverage, upgaradable OS na mambo mengine ya msingi kuzungumzia brand ni ushamba wa kutojua matumizi ya simu, yaani unaweza kuta manzi anajibana, anadanga, anapiga mizinga ili anunue ayifoni lakini akishainunua hana matumizi yanayoendana na gharama na usumbufu aliopitia kutafuta hiyo simu, anaweka makava ya midoli na kuitoa toa mbele za watu, na kupiga selfie nje na hapo hamna cha ziada ambacho angekikosa kwenye tekno y3.
USHAMBA TU mi natumia nokia ya tochi,
InterestingUlichokikwoti kinajibu swali namba 2
Mengine sioni umuhimu wake
kuna vitu ukivifikiria in deep vinakera automaticallyMKUU UNAFANYA HIGH PRESSING
Punguza sauti kidogo
we bibi acha uongo hizi ni mpaka u dowload sio stock app,Number row ipo, inabidi ui activate. Bofya chini hapo:
![]()
4 iPhone Keyboards With Numbers Row on Top
Hate typing in numbers on the stock iPhone keyboard? Here are four great alternatives to make your life a whole lot easier.www.guidingtech.com
achana na keyboard za ku download, iphone haina hiyo featureHata android unaweza ku activate au kuto ku activate number rows.
Ni matumizi tu, simu zipo flexible sana siku hizi.
kuna ukweli hapa,Kwenye uwanja wa smartfoni hakuna iiliyowahi kunisismua,iOs ishakuwa kama mdosho kila demu anayo, android ukiachana na matumizi basic hakuna jipya la kutisha,
sema wabongo tunakaushamba kwenye hizi brand kubwa ila ukiangalia performance kuna simu nyingine ziko vyedi ukikompare na brand yako ungesave hata 40%.
sina ushabiki na simu yoyote ushauri wangu tuache ushamba,
angalia unachokihitaji kwenye simu camera, processor, network coverage, upgaradable OS na mambo mengine ya msingi kuzungumzia brand ni ushamba wa kutojua matumizi ya simu, yaani unaweza kuta manzi anajibana, anadanga, anapiga mizinga ili anunue ayifoni lakini akishainunua hana matumizi yanayoendana na gharama na usumbufu aliopitia kutafuta hiyo simu, anaweka makava ya midoli na kuitoa toa mbele za watu, na kupiga selfie nje na hapo hamna cha ziada ambacho angekikosa kwenye tekno y3.
USHAMBA TU mi natumia nokia ya tochi,
NI KWELI MKUUkuna vitu ukivifikiria in deep vinakera automatically
Hivyo ndivyo Ubeberu unavyofanya kaziHizo simu zimekaa kibepari sana vitu vingi ukihitaji uweke credit [emoji388]
Yaan huyu ana iPhone 6s anasumbuaAcheni kutukalia kooni
Vitu tunavitumia banaa wee
Haya ITune hiyo jana nimelipia kitu flani.
View attachment 2799235
Nina mwaka sasa natumia Mac Book pro, ukweli ni kwamba Windows is the best OS. Ni tools nyingi na ni rahisi kutumia, performance nzuri, look and feel nzuri etc. Device za apple ni majina tu hazina cha ziada ku compare na bei yake.Labda kwa manamba ya uongo uongo ila kwenye reality performances iphone ni moto wa kuotea mbali kaka sio iphone tu apple device ni next level chief
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umewapiga kwenye mshonoKwenye uwanja wa smartfoni hakuna iiliyowahi kunisismua,iOs ishakuwa kama mdosho kila demu anayo, android ukiachana na matumizi basic hakuna jipya la kutisha,
sema wabongo tunakaushamba kwenye hizi brand kubwa ila ukiangalia performance kuna simu nyingine ziko vyedi ukikompare na brand yako ungesave hata 40%.
sina ushabiki na simu yoyote ushauri wangu tuache ushamba,
angalia unachokihitaji kwenye simu camera, processor, network coverage, upgaradable OS na mambo mengine ya msingi kuzungumzia brand ni ushamba wa kutojua matumizi ya simu, yaani unaweza kuta manzi anajibana, anadanga, anapiga mizinga ili anunue ayifoni lakini akishainunua hana matumizi yanayoendana na gharama na usumbufu aliopitia kutafuta hiyo simu, anaweka makava ya midoli na kuitoa toa mbele za watu, na kupiga selfie nje na hapo hamna cha ziada ambacho angekikosa kwenye tekno y3.
USHAMBA TU mi natumia nokia ya tochi,
Anajishebedua😂😂😂Kwamba wamiliki iphone hawapendi utoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kuna watu wana utoto kama watu wa iphones??
Mfano hapa badala ya kumuelekeza number raws inakaa wapi ktk keyboard umeishia kujishebedua tu!!!!
Lingekuwa tatizo ni la android kungekuwa na watu kibao wameshamuelekeza.