Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Kuna hii notes uliisahau 🤣

Naitumia kuandika ya moyoni.. na pia naitumia kuscan document.
Unaijua? Ms eyes
Mail situmii.. sbb natumia gmail na outlook
View attachment 2799221
Naijua babe, halafu nimeona maelekezo yako ya kuhusu kuongeza na kupunguza mwanga kwenye torch ikabidi nifanye majaribio maana nilikuwa sijui 🤣🤣🤣.

Ubarikiwe😊😍
 
Kuna hii notes uliisahau 🤣

Naitumia kuandika ya moyoni.. na pia naitumia kuscan document.
Unaijua? Ms eyes
Mail situmii.. sbb natumia gmail na outlook
View attachment 2799221
HIYO MAIL ALTERNATIVELY UNAWEZA UKAWEKA AKAUNTI YAKO YA GMAIL NA OUTLOOK ukaendelea kula maisha, so hamna haja ya kuinstall app ya gmail au outlook, nilikuwa nafanya hivyo kipindi natumia iPhone....

Reminder kwa sisi wasahaulifu nilikuwa naitumia sana, nikipata notification mambo yanakuwa fresh
 
Kwenye uwanja wa smartfoni hakuna iiliyowahi kunisismua,iOs ishakuwa kama mdosho kila demu anayo, android ukiachana na matumizi basic hakuna jipya la kutisha,
sema wabongo tunakaushamba kwenye hizi brand kubwa ila ukiangalia performance kuna simu nyingine ziko vyedi ukikompare na brand yako ungesave hata 40%.
sina ushabiki na simu yoyote ushauri wangu tuache ushamba,
angalia unachokihitaji kwenye simu camera, processor, network coverage, upgaradable OS na mambo mengine ya msingi kuzungumzia brand ni ushamba wa kutojua matumizi ya simu, yaani unaweza kuta manzi anajibana, anadanga, anapiga mizinga ili anunue ayifoni lakini akishainunua hana matumizi yanayoendana na gharama na usumbufu aliopitia kutafuta hiyo simu, anaweka makava ya midoli na kuitoa toa mbele za watu, na kupiga selfie nje na hapo hamna cha ziada ambacho angekikosa kwenye tekno y3.
USHAMBA TU mi natumia nokia ya tochi,
 
MKUU UNAFANYA HIGH PRESSING

Punguza sauti kidogo
 
kuna ukweli hapa,

simu yeyote ya 2M+ lazima iwe nzuri
 
Labda kwa manamba ya uongo uongo ila kwenye reality performances iphone ni moto wa kuotea mbali kaka sio iphone tu apple device ni next level chief
Nina mwaka sasa natumia Mac Book pro, ukweli ni kwamba Windows is the best OS. Ni tools nyingi na ni rahisi kutumia, performance nzuri, look and feel nzuri etc. Device za apple ni majina tu hazina cha ziada ku compare na bei yake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umewapiga kwenye mshono
 
Anajishebedua😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…