Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Nina mwaka sasa natumia Mac Book pro, ukweli ni kwamba Windows is the best OS. Ni tools nyingi na ni rahisi kutumia, performance nzuri, look and feel nzuri etc. Device za apple ni majina tu hazina cha ziada ku compare na bei yake.
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja unatakiwa unaponunua kitu kama simu angalia majority inayo kuzunguka ,sasa wewe unanunua iPhone alafu unazungukwa na window na android utateseka tu
 
kuna ukweli hapa,

simu yeyote ya 2M+ lazima iwe nzuri
ofcourse shida tunashindana brand na toleo maarufu, ni kweli kuna matoleo kweli ukiangalia unaona hii kitu sio poa, lakini ukishainunu ukajijaji kwa matumizi yako unaona mambo ni yale yale tofauti ni upya wa brand, unajikuta hakuna kipya ulichopata kimatumizi zaidi ya pride that you own new brand
 
Naijua babe, halafu nimeona maelekezo yako ya kuhusu kuongeza na kupunguza mwanga kwenye torch ikabidi nifanye majaribio maana nilikuwa sijui 🤣🤣🤣.

Ubarikiwe😊😍
😂😂😂 hizi cm zinapiga chenga tu
 
I know.. ila Microsoft is the best… ina vingi nimevizoea
Ukinipeleka kwenye mail utanichanganya.
 
Sorry, mbona ulikiandika wewe ni utoto mtupu, badala kumuelekeza aliyokosoa wewe umeishia ..............

#YNWA
 
Hakuna zaidi ya mfamle IPhone, ni zaidi ya uijuavyo. Wewe fikiria mpaka mademu wanagawa papuchi kwa hii kitu, si mchezo mkuu. Muulize mwanamke anataka ndoa au IPhone maishani mwake, usikie jibu lake.
 
Watu wa Android wako smart sana.

Kwenye ulimwengu wa Mswahili utakuta Mtu asiye na kazi wala kipato cha Maana ndio anatumia Iphone wakati watu wenye mishe na pesa na hustlers wanatumia Android.

Hii si ndio ile category kweli?

Maana vijana wa siku hizi hadi wanauza utu waa.

Ndio maana sipendi Apple products hata kama nina uwezo navyo.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wanaotumia range au land cruise LC3000 niwashamba wajanja ni wanaotumia IST na corolla [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiwapangie watu matumizi huyo analala mika tu ndowale wanaonunua gari arafu wanalalamika yanakunywa mafuta tafuta simu unayoipenda wewe sio kusema haina maajabu wakati likitoka toleo jipya zinaongoza kwa mauzo kuliko android
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Paragraph ya 1 ilifanya niachane na I4n.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…