Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

Anapendwa na nani?

Yaani atese wananchi kwa miaka mitano halafu wampende?

Kuna lipi jipya na lenye maana aliwaahidi kuwafanyia wakazi wa Korogwe mwaka 2015 halafu mwisho wa siku akawafanyia?
ww ndo umeteswa sio wateswe wakina nan ka sio ww na wavivu wenzako
 
. Bassodawish

Hilo la pili nikuulize kwahiyo ukimchagua mbunge wa chadema Hana haja yakuleta maendeleo tusubiri mpaka rais awe anatokea chadema wewe mbn hujielewi vilee Sasa yanini kuwa na upinzani Kama mbunge wa chadema hawezi kuleta maendeleo?
Nyie misukule mko so thick vichwani. Ni rais wenu huyo anayetubagua Watanzania akituita wengine watoto wa kambo. Eti atakusanya kodi lakini maendeleo asilete, hajui ukishachaguliwa Rais ni wa wote. Hii ndiyo sababu tarehe 28/10/2020 ni lazima afungishwe virago na kutimuliwa Ikulu.
 
. Asipotoka?
 
Back
Top Bottom