Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
- Thread starter
- #21
Mastermind wako wengi sana tena sana sema hawana exposure.Ruge is overrated since ana platform ya kufanya kile akifanyachoNinachosikitika tunatengeneza wanamuziki wengi sana ila tunashindwa kuwatengeneza wakina Ruge wengi ambao ni mastermind, mainnovator magamechanger so sad kwa kweli kwa afya ya industry yao anyway show kwa kuwa ni ya kwanza ilikuwa poa sana