Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,045
- 1,468
Haya bana....muda utatuambia....
Poa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bana....muda utatuambia....
Wanajua kuimba live sa sijui wanaogopa nini?nAONA CLIP ZA ALI KIBA KAHAMA NA YEYE MA PLAYBACK.MBONA WANAIBIA WATU HAWA?HALAFU WANAJILEMAZA,ITS BAD FOR THEIR CARRIER KABISA, HOVYOOO
lAah wapi akikaza anarudi kwenye peak
Okl
tupo tutaona
Hii ni tathmini baada ya tukio. Hiyo sold out inakuwa kabla ya tukio lenyewe hivyo hakuna uhusiano wowoteIla wanadai ilikua sold out.. Sasa sijui hapo itakuwaje
Ukitaka kuenjoy stage njoo Ngwasuma achana na takataka hizo.BADO SANAAAAAA
Diamond Show kapiga kuanzia saa 03:30 hadi 05:21
Kapiga ngoma 31 ( 36,2,3,18,43,44,4,6,7,8,11,13,14,16,25,27,28,33,34,37,38,45,46,51,47,30,31,35,49,50,39)kutoka kwenye playlist yake aliyotupostia instagram
Katumia mfumo wa kupiga playback na band pamoja na wacheza show..
1.band ilipwaya maana drumer alikuwa juu ya mziki wote drums zinaakika kuliko mziki wote(kisayansi na hisabati za muziki)
2.wasanii wa Hip Hop bado wamekuwa wageni wa stage( effect ya kubaniwa big stages) hawakujua watu wanataka nini.
3. Kumchukua Dudu baya kutawaangusha Wasafi kwani dudu baya hamna alichofanya. Maneno mengi sana hana kazi wala bazi.
4.moni centrazone na Country boy wameonyesha uzoefu wao wa big stages (fiesta effect)
5. Hawakuwa na stage planner mzuri(kuna gapes kibao stage...kabla ya show na show na stage ipo chini hadi washabiki wanapanda stage.
6. Wasanii wa wasafi hawana uzoefu wa show especially show kubwa...(fiesta effect)
7. Band ya wasafi haina back vocalists wala formation ya band professional.
8.Harmonise anaipa nguvu Theory yangu kuwa akipatikana mastermind kama Ruge akamtengenezea harmonize channel, Diamond hamuwezi Harmonize...Harmonize alitulia stage akacheza na mashabiki...akawaambukiza ile energy yake bila kuwambia piga keleleeee
9. Navy Kenzo bado wageni wa stage kubwa...hapo ndio ubaona tofauti ya wasanii wa club na wasanii wa big stage kama Country Boy na Moni.
10. Mboso peke yake ndiye alitakiwa kuimba na Band hasa ukizingatia uzoefu wake wa stage kubwa na kuomba kwenye team aliotoka nao Yamoto band na ufundi wake wa kupiga chombo.
11. Mboso, ray vanny na lava lava walitakiwa kufanya back vocals wakati wa show ya diamond hiyo ndio definition ya team sio kuwajaza kina tale na fela na salam kwenye stage...na watu wengine wasio wasanii...Stage ni Offisi ya msanii sio offisi ya manager wala mpiga picha wala baunsa, wala kumpandisha steve nyerere na kina aunt ezekiel ni format ya zamani ya show iliyotumiwa na Fiesta... show haikuwa na ubunifu wa stage picture, light wala projection ya picha inayoeleweka... stage ilikosa Theme na Mc (jonijoo) alitakiwa kuhost na yule mwanamke mwengine ila asimpe nafasi hata ya kuwa co host... fela anaingia kila mara na kuwashika wasanii begani huku akiwapa maelekezo fulani maanake anaonyesha stejini yeye ni Boss.
mkubwa mkubwa tu,njiwa hawezi kuwa kunguru hata siku mojaLILE jini kaka alitabiriki ingawa dogo yupo vizuri ila kum compare na diamond aiwezi kuwa frsh
Naunga mkono hojaaa .......Ukitaka kuenjoy stage njoo Ngwasuma achana na takataka hizo.
We umemwambia ukweli wasafi ndo wameanza na huwezi mara ya kwanza ukafanikiwa kiasi kikubwa kuna kujifunza makosa na kurekebishana, yaani kuna kuna watu na viatu eti ujueHv Country boy huwa anaimba nn...umemsifia sana, Tamasha la fiesta na wasafi ni yale yale tuu wala hakuna anayemzid mwenzake hawapishani, wala usijifanye kuwaponda wasafi...bongo fleva kwa live ni kinyaa ni heri play back..Show za live wanapiga akina Celine dion, Rihnana n.k na nyimbo zingine za mahadhi hayo....Harmonize kuongea kimakonde always na kuimba nyimbo za Luck Dube...anyway matamasha kama hayo ndo kipato chao wacha wafanye kazi...Fiesta & Wasafi festival hakuna tofauti
Akute wazee wakali wa vocal ataipendaUkitaka kuenjoy stage njoo Ngwasuma achana na takataka hizo.