Nilichokiona jana kwenye Wasafi Festival 2018

Nilichokiona jana kwenye Wasafi Festival 2018

We umemwambia ukweli wasafi ndo wameanza na huwezi mara ya kwanza ukafanikiwa kiasi kikubwa kuna kujifunza makosa na kurekebishana, yaani kuna kuna watu na viatu eti ujue
Ndo wasijaribu kujringanisha na fiesta
 
KAMBI PINZANI KTK HARAKATI ZA KUZUIA MAFURIKO,YANI LIMRADI MTOE KASORO MJIRIDHISHE NAFSI ZENU.mna dalili za uchawi kwa staili hyo.Phiestwa fykelea mbali,mkawatafute kina whozu hukooo
 
Ukizeeka utakuwa mchawi umekalia kumsifia Mon na boy wakati huo huo unamkandia dudubaya alichengamsha show na kuleta amsha amsha ambayo haikufikiwa na msanii yeyote yule labda young killer
 
Hv Country boy huwa anaimba nn...umemsifia sana, Tamasha la fiesta na wasafi ni yale yale tuu wala hakuna anayemzid mwenzake hawapishani, wala usijifanye kuwaponda wasafi...bongo fleva kwa live ni kinyaa ni heri play back..Show za live wanapiga akina Celine dion, Rihnana n.k na nyimbo zingine za mahadhi hayo....Harmonize kuongea kimakonde always na kuimba nyimbo za Luck Dube...anyway matamasha kama hayo ndo kipato chao wacha wafanye kazi...Fiesta & Wasafi festival hakuna tofauti
TOFAUTISHA KATI YA KUPONDA NA KUSHAURI. NILICHOSOMA NI KUWA MLEDA MADA AMESHAURI PMOJA NA KUTOA MAWAZO YAKE. HAKUNA PAHALI KAPONDA
 
Hv Country boy huwa anaimba nn...umemsifia sana, Tamasha la fiesta na wasafi ni yale yale tuu wala hakuna anayemzid mwenzake hawapishani, wala usijifanye kuwaponda wasafi...bongo fleva kwa live ni kinyaa ni heri play back..Show za live wanapiga akina Celine dion, Rihnana n.k na nyimbo zingine za mahadhi hayo....Harmonize kuongea kimakonde always na kuimba nyimbo za Luck Dube...anyway matamasha kama hayo ndo kipato chao wacha wafanye kazi...Fiesta & Wasafi festival hakuna tofauti
Mi naona haya mambo ni ubunifu ukiwa jukwwani. Kuwepo matukio ambayo yatawavutia watu
 
Show ilikua tarehe 24 kuamkia 25 ila mpaka leo tarehe 27 bado inakutoa roho unabaki kurudia thread
 
11 umeongea point sana...yani event za kibongo unakuta wajinga wajinga wengi sana kwenye stage yani kama babu tale au fela unakutankila mara linapita pita tu yani mradi ajipitishe.

Cheki event za mbele huwezi kukuta wajinga wajinga wengi kwenye stage
 
Dudu baya kiki imembeba labda cjui ni kwamba kasahau kupiga Show au alikuwa tungi cjaelewa bado
 
Ulitaka first tamasha wawe Sawa na fiesta ,wachawi wataongezeka sana tz
 
Mond kasikia kilio chako anakuajiri kuelekea mikoa mingine
 
Tunaimba wote siwasikiiiiii....Songea niajeeeeee.....Mikono juuuuuuu....

Wasanii wabongo wote wale wale.
 
Ukizeeka utakuwa mchawi umekalia kumsifia Mon na boy wakati huo huo unamkandia dudubaya alichengamsha show na kuleta amsha amsha ambayo haikufikiwa na msanii yeyote yule labda young killer
Nimemshangaa wakat ,dudu ndiye alishangiliwa sana na kuchangamsha jukwaa
 
Sijaangalia hii show ila nimependa jinsi umechambua mkuu
 
DUDUBAYA? Apart from Harmonise, Rayvanny n' Mond hakuna msanii aliyemzidi Dudubaya usiku ule kwa namna alivyopokelewa vizuri na mashabiki, what a'u talking about?

MOCO (Moni n Country)? Yes walifanya vizuri kwa stage ila sio kivile, walizidiwa hata na Young Killer

NAVY KENZO? Eti hawana uzoefu na big stages, mbona kama ni fiesta wameshazunguka nao sana, ulikuwa wapi?

WASANII WA WCB? Wote walipokelewa vizuri sana na mashabiki, isipokuwa Queen Darlin ambaye tunajua ni wazi anabebwa na 'kaka', hana uwezo kivile

HIPHOP (Nikki Mbishi, One,Stereo)? Yes hapa nakubaliana na wewe, jamaa walikuwa chini ya kiwango, walifanya vibaya
 
Back
Top Bottom