Nilichokiona jana kwenye Wasafi Festival 2018

Ninachosikitika tunatengeneza wanamuziki wengi sana ila tunashindwa kuwatengeneza wakina Ruge wengi ambao ni mastermind, mainnovator magamechanger so sad kwa kweli kwa afya ya industry yao anyway show kwa kuwa ni ya kwanza ilikuwa poa sana
Mastermind wako wengi sana tena sana sema hawana exposure.Ruge is overrated since ana platform ya kufanya kile akifanyacho
 
Ungeweza kuchambua mambo ya msingi kwenye hii nchi kama ulivyochambua sijui mnaita fiesta hii nchi ingekuwa mbali sana!
 
Unapisema wapo wengi wakwapi maana tunachohitaji uwepo wao uliopo sio wa kufikilika
Mastermind wako wengi sana tena sana sema hawana exposure.Ruge is overrated since ana platform ya kufanya kile akifanyacho
 
Bila kusahau Nilimuona Steve Nyerere mzee wa fursa,kaachana na misiba siku hizi😂😂😂
 
Unapisema wapo wengi wakwapi maana tunachohitaji uwepo wao uliopo sio wa kufikilika
utawaonea wapi wakati platform hawan? ungekua upo karibu na wadau wa muzik ndo ungejua nachokisema...unajua kinachohariby bongo ni ile kwamba Ruge,Ruge,Ruge what a shit 😬
 
utawaonea wapi wakati platform hawan? ungekua upo karibu na wadau wa muzik ndo ungejua nachokisema...unajua kinachohariby bongo ni ile kwamba Ruge,Ruge,Ruge what a shit [emoji51]
Platform inatengenezwa kama ruge alivyotengeneza ila bado tunawahitaji akina ruge wengi tuache blah blah
 
Kuna jamaa mmoja anaitwa mzee wa bwax mwimbaji wa singeli anajitahid sana kuimba live, inawekwa bit yy anashuka mistari ....huwa sipendi sana playback, pesa yangu c bora ninunue mdudu nitafune
 
Hip-hop tulitisha sana young killer aliua dudu baya alizika kabisa

Kwangu man of the match alikuwa dudu baya. KAMA UNA MARINDA NYOSHA MKONO JUU watu wote nikono juu
dudu ndo mwaka wake wa mwisho huu mwakani chalii
 
Hip-hop tulitisha sana young killer aliua dudu baya alizika kabisa

Kwangu man of the match alikuwa dudu baya. KAMA UNA MARINDA NYOSHA MKONO JUU watu wote nikono juu
Marinda c mchezo hahahaa
 
[emoji38][emoji38][emoji38] umenichekesha sana mkuu. lakini mara moja moja sio mbaya
hela za kustaafu zenyewe zinapigwa panga halafu unataka uende kwenye starehe ukautane na wakina gigy money,watazimaliza zote ufe kwa msonho wa mawazo
 
Hapo kwa Rayvanny umeongozwa na roho mbaya na si uhalisia, ila hapo kwa 'Tamaduni Music' ni kweli walikuwa 'worst performers'
 
Hapo kwa Rayvanny umeongozwa na roho mbaya na si uhalisia, ila hapo kwa 'Tamaduni Music' ni kweli walikuwa 'worst performers'
mnatanguliza kila kitu roho mbaya.why?huoni Rayvany alivyokuwa anapishana na playback,kwanza ana sauti nzri naturally sasa anatumia playback ya nini?atumie beat chorus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…