engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,379
- 1,394
Ndo wasijaribu kujringanisha na fiestaWe umemwambia ukweli wasafi ndo wameanza na huwezi mara ya kwanza ukafanikiwa kiasi kikubwa kuna kujifunza makosa na kurekebishana, yaani kuna kuna watu na viatu eti ujue
Konki Konki Konki MasterUkizeeka utakuwa mchawi umekalia kumsifia Mon na boy wakati huo huo unamkandia dudubaya alichengamsha show na kuleta amsha amsha ambayo haikufikiwa na msanii yeyote yule labda young killer
TOFAUTISHA KATI YA KUPONDA NA KUSHAURI. NILICHOSOMA NI KUWA MLEDA MADA AMESHAURI PMOJA NA KUTOA MAWAZO YAKE. HAKUNA PAHALI KAPONDAHv Country boy huwa anaimba nn...umemsifia sana, Tamasha la fiesta na wasafi ni yale yale tuu wala hakuna anayemzid mwenzake hawapishani, wala usijifanye kuwaponda wasafi...bongo fleva kwa live ni kinyaa ni heri play back..Show za live wanapiga akina Celine dion, Rihnana n.k na nyimbo zingine za mahadhi hayo....Harmonize kuongea kimakonde always na kuimba nyimbo za Luck Dube...anyway matamasha kama hayo ndo kipato chao wacha wafanye kazi...Fiesta & Wasafi festival hakuna tofauti
Mi naona haya mambo ni ubunifu ukiwa jukwwani. Kuwepo matukio ambayo yatawavutia watuHv Country boy huwa anaimba nn...umemsifia sana, Tamasha la fiesta na wasafi ni yale yale tuu wala hakuna anayemzid mwenzake hawapishani, wala usijifanye kuwaponda wasafi...bongo fleva kwa live ni kinyaa ni heri play back..Show za live wanapiga akina Celine dion, Rihnana n.k na nyimbo zingine za mahadhi hayo....Harmonize kuongea kimakonde always na kuimba nyimbo za Luck Dube...anyway matamasha kama hayo ndo kipato chao wacha wafanye kazi...Fiesta & Wasafi festival hakuna tofauti
Nimemshangaa wakat ,dudu ndiye alishangiliwa sana na kuchangamsha jukwaaUkizeeka utakuwa mchawi umekalia kumsifia Mon na boy wakati huo huo unamkandia dudubaya alichengamsha show na kuleta amsha amsha ambayo haikufikiwa na msanii yeyote yule labda young killer
Wabongo MNA roho mbaya kinyama....bsdala ya kupongeza mapinduzi ya chama kimoja cha fiesta bado mnataka mono fiesta?????,Bure kabsaaaNdo wasijaribu kujringanisha na fiesta