Nilichokiona leo Dodoma hakina afya kwa mustakabali mzima wa ustawi Taifa letu, tujirekebishe kwa maslahi mapana ya Taifa

Wangechaguliwa wote wanaume ungeandika haya uliyoyaandika?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Read between the lines,utanielewa.

Bado naona unaendeleza minyukano.Anyway,
wanawake hamna budi kujitambua,the path that you have choosen is dangerous.Hii confrontational stance against man haitawasaidia sana,at most it will destroy the family establishment.Most important of all ni uasi dhidi ya Mungu.
 
We acha hizo!
 
Haya mambo nimekuwa nikiyatazama kwa muda mrefu kwa jicho la mashaka sana. Na sasa nimeanza kuamini nilikuwa sahihi kuwa na doubt.

Kama taifa linakuwa na watu wanaovaa nguo za kiume, na kujitambulisha kuwa ni wanaume kisha kauli na mienendo yao si ya kiume ni wazi bila shaka tunajenga picha kuwa taifa linapoelekea sipo.


Sasa hebu jaribu kuimagine namna ambavyo tumechelewa kama taifa kimaendeleo halafu sasa tunaanza misuguano ya kijinsia.

Why kwanza tuna mijadala ya kijinsia katika platform za maendeleo. No wonder hata familia zinavurugika now days sababu ya huu ufala..... Anyways bado somo halijaeleweka tusubirie kidogo ndipo tutajua why wazee wetu zamani walikuwa hawana shobo na wanawake inapokuja swala la uongozi na maamuzi ya mwisho.

Bado kidogo.
 
Wala sikuwa mgombea mkuu,nilikuwa nyumbani nafuatilia mkutano.

Ila kilichotokea Dodoma ni kitu ambacho kila anaye-itakia mema nchi yetu,anapaswa kukilaani kwa nguvu zake zote kwa kuwa sio kizuri kwa mustakabali wa Taifa letu.
Kabisa...
 
Mbona wanaume wametawala muda mrefu na tumefika tulikofika? Tuwape nafasi waoneshe uwezo.
 
Mbona wanaume wametawala muda mrefu na tumefika tulikofika? Tuwape nafasi waoneshe uwezo.
Hii ni attitude mbaya sana.Kwa nini mawazo yetu yanafikiria in terms of men and women as unrelated entities.Hii ni shida kubwa.Solution ni kuangalia community issues collectively, and who is suited best for what role for the collective advancement of our families,community and nation.Hii tabia ya kuangalia men and women as independent entities ni mbaya na itatufikisha pabaya.
 
Aise,umeiweka vizuri,ila kwa utani utani hivii....👊.
 
Mkuu, itabidi tu ukubali msemo:'The gin is out of the bottle".

Tafuta tu njia za kuishi nalo.

Ni kazi bure kutaka kushindana na kitu usichoweza kukimudu tena.
 
Magufuli alikuwa akitolea wanawake maneno wazi ya udhalilishaji na kibaguzi tulikaa kimya ...hivyo tukubali matokeo ya wanawake nao kujiona saasa ni muda wetu wa kuonyesha hisia zetu..

Tukubali na kufanya maridhiano
 
Mkuu, itabidi tu ukubali msemo:'The gin is out of the bottle".

Tafuta tu njia za kuishi nalo.

Ni kazi bure kutaka kushindana na kitu usichoweza kukimudu tena.
The Jinn is out of the bottle indeed mkuu,ila ni vizuri mtu akajua kinachoendela,ili aweze kufanya something at the personal level.Remember that knowledge is power.
 
Magufuli alikuwa akitolea wanawake maneno wazi ya udhalilishaji na kibaguzi tulikaa kimya ...hivyo tukubali matokeo ya wanawake nao kujiona saasa ni muda wetu wa kuonyesha hisia zetu..

Tukubali na kufanya maridhiano
Wewe ni mwanaume kweli?I don't believe it.Ila jina linaonekana kama la mwanaume!Kama wewe ni mwanaume,basi sio wewe uliyetoa hii comment,it's the Gin in you.
 
Hii ni awamu ya sita sio ya tano mkuu. Kaa kwa kutulia
 
The gin is out of the bottle indeed mkuu,ila ni vizuri mtu akajua kinachoendela,ili aweze kufanya something at the personal level.Remember that knowledge is power.
Na hiyo "Knowledge is Power" - ndiyo hasa itakayosambaratisha kabisa mfumo uliokuwepo wa "male domination".

Mkuu, lisiloweza kupingika ni hilo uliloliweka sawa kabisa, la kuwa na uwezo. Acha mwenye uwezo aongoze.

Lakini kwa hatua hizi za mwanzo za kujiona wanajikomboa, tutayaona mengi yasiyopendeza kutoka upande huo.

Lakini naamini baada ya muda patakuwepo na uzoefu wa hali mpya pande zote mbili, na mambo yatakuwa ya kawaida baada ya hapo.

Hebu waangalie jamaa zetu waliotangulia katika mambo kama hayo, kwa mfano Wamarekani wanavyoichukulia hali hiyo!

Ni swala la muda tu nasi tunaelekea huko kwa spidi yetu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…