Nilichokiona usiku wa leo, msaada wenu wanaJF

wakati wengine mkilala nakusali wengine huwa tunalala tunafungua Bluetooth tunaunga na redio then playlist inakuwa hivi na hakuna ndoto hata robo!
 
Trance
 
Explain this please
you realised that you was dreaming in a dream,this happens during a REM sleep ambayo mtu humtuke muda mfupi baada ya kupata usingizi mara nyingi ni 10min,ndoto Za namna hiyo mimi hunitokea sana hata mchana nikijilaza tu naweza Ota kama kuna mtu yupo hapo ananiongelesha live kwa wakati huo nakuwa kama ktk purukushani ili ni amke lakini haiwezekani.It’s a trance,just a nervous system action
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…