Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Kvant hyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACHA utani basi weweWewe uliita majini, yamekuja kukuadhibu maana hakuna urafiki wa kudumu kati ya binadamu na majini (mashetani)
😂😂😂🚮Naaam hao n makhudam wa izo sura ulizo soma, na umesema kwa utulivu na kwa dhati ivyo walikuja kukusaidia sema ndo umeshindwa jinsi ya kuongea nao ili wakuondolee makadha yanayo kusumbua🙏🏽
Kataa ukubali huo ndo ukweli,bado ujajua siri na yaliyo jificha kwenye ulimwengu wa roho😂😂😂🚮
Watu mna imani za kijinga . Fanyeni kazi
Sio utani bro, mimi nakushauri mapema mtafute Yesu kristo kabla mambo hajakuaribikia sana kutokana na hayo majini.ACHA utani basi wewe
Heshimu wazo la kila mtu kuna mengne hakika huyajui😂😂😂🚮
Watu mna imani za kijinga . Fanyeni kazi
Sizani kama jini anavaa nyeupe ni vipi kama nikikwambia Hawa ni yesu utasema niniSio utani bro, mimi nakushauri mapema mtafute Yesu kristo kabla mambo hajakuaribikia sana kutokana na hayo majini.
Yesu hawezi kuja kwa hayo masurat na udiSizani kama jini anavaa nyeupe ni vipi kama nikikwambia Hawa ni yesu utasema nini
Aya basi heshimu imani ya kila mtu Lau ungejua maana hayo maneno na sababu ya mm kuchoma uban usingeongea ktuYesu hawezi kuja kwa hayo masurat na udi
Ila watu..!!Kayaita afu anashangaa ayaombe na kobazi na mpya
TranceKwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF.
Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika nayo ni kile nilichokiona usiku wa Leo.
Kwa kawaida yangu na ratiba zangu za kulala siku za hivi karibu zimekuwa kabla ya kulala lazima nichome ubani chumbani na pale ninapotaka kulala ni lazima nishike udhu na Baada ya hapo nasoma surat nas X3 surat faraq X3 surat ikhas X3 na ayatul qurs X3 Kisha huplay Quran na kuiacha ikisomwa kuanzia surat fatiha Kisha Baada ya hapo ndipo hulala zangu nikiongezea na maombi mengine ya kiswahili na udambwi dambwi kama kuomba maisha marefu afya njema na mengine mengine si mnajua life yetu hii "pangu pakavu tia mchuzi" bila maombi haiendi.
Basi bhana leo mida ya saa 10 kama sio Kumi basi 11 au 12 alfajir Giza lilikuwepo si haba kwani sikutoka nje na niliona ni Giza kupitia dilisha ambalo japokuwa lilikuwa na pazia ila I trust my eyes.. bila shaka palikuwa Bado hapajakucha.
Nilichokishuhudia ni kwamba wakati nimelala nimeona viumbe wawili wakiwa na mavazi meupe juu mpaka chini mmoja akiwa karibu na kona ya mlango na wapili akiwa kitandani nilipolala nahisi alikuwa akinikanda kanda mkono wangu wa kushoto yani ubavu wangu wa kushoto kwani nilikuwa nimelalia ubavu mmoja nao ni ule wa kulia na uwa kushoto ukiwa huru na ndio ulikuwa juu nae ndio alikuwa kama kanishika na kufanya kama vile anakanda lakini sielewi kitendo kile dhumuni lake au maana yake nini hasa my point ni hapo alikuwa katika ubavu wa kushoto akidili nao wakati huo huo mwingine akiwa katika Kona ya mlango Yani pembe iliyokaeibu na mlango kwa maana ukifungua mlango inakuwa kama Kona.
Huyu aliekuwa nyuma yangu sikufanikiwa kumuona sura na aliepo mbele yangu aliekuwa kasimama karibu na Kona ya mlango huyu pia sikumuona sura bali niliona tu jinsi alivyosimama sijui kama alikuwa kanipa mgongo au la ila nina walakini alikuwa akinitazama tu Kwa maana hiyo sura ilikuwa mbele ila sikuona zaidi ya vazi lake la rangi nyeupe alilovaa kuanzia chini mpaka juu kama kanzu tu ila Tofauti na yake ni kuwa lake lilifika mpaka kichwani.
Wakati nashuhudia ni kama nilikuwa ndotoni lakini ndoto ambayo ni kama nilikuwa naona kinachoendelea ila Sina la Kufanya zaidi ya kutulia tuli kama mtu aliemwagiwa Maji ya baridi sababu sikuweza kufanya chochote zaidi ya kushuhudia tu kitendo kile kwa sekunde zipatazo 30 hadi 40 Kisha nikashituka kutoka katika hali Ile ya kutoweza kufanya lolote nikiwa kama niko ndotoni.
Enyi wana JF naombeni ushauri na msaada wenu ni nini hiki..
Ikiwa huoti basi jua wewe hauko sawawakati wengine mkilala nakusali wengine huwa tunalala tunafungua Bluetooth tunaunga na redio then playlist inakuwa hivi na hakuna ndoto hata robo!
View attachment 3136876
you realised that you was dreaming in a dream,this happens during a REM sleep ambayo mtu humtuke muda mfupi baada ya kupata usingizi mara nyingi ni 10min,ndoto Za namna hiyo mimi hunitokea sana hata mchana nikijilaza tu naweza Ota kama kuna mtu yupo hapo ananiongelesha live kwa wakati huo nakuwa kama ktk purukushani ili ni amke lakini haiwezekani.It’s a trance,just a nervous system actionExplain this please
Acha kumshirikisha Yesu na vitu vya kijinga.Sizani kama jini anavaa nyeupe ni vipi kama nikikwambia Hawa ni yesu utasema nini
Jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hayo si ndo mnayoyaabudu yamekutokea laivu unashangaa nini? Si ndo majini yenyewe? Yaambie yakupe hela!