Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
- Thread starter
- #121
Aya ndugu yangu mtanzaniaThread yako inaongea mengi sana kuliko maneno ya kinywa chako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya ndugu yangu mtanzaniaThread yako inaongea mengi sana kuliko maneno ya kinywa chako
Kuna kipindi miezi kadhaa iliyopita nilipata kuteguka kwenye Enka nilipokua huko Milimani lushoto sasa niliporudi mjini hapa nilikaa kama mwezi hivi huku nikitibia mguu!
Sasa usiku nimelala akatokea mtu kwenye NDOTO simjui akaushika mguu wangu huo huo nilioteguka akachukua mafuta kwenye chupa akamimina kwenye Enka akaanza kama kuuchua hivi kesho asubuhi naamka Nimepona kabisa mpaka leo!.
Si umewaita mwenyewe? Hayo ni majini na yatakusumbua sana. Unatakiwa utafuteKwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF.
Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika nayo ni kile nilichokiona usiku wa Leo.
Kwa kawaida yangu na ratiba zangu za kulala siku za hivi karibu zimekuwa kabla ya kulala lazima nichome ubani chumbani na pale ninapotaka kulala ni lazima nishike udhu na Baada ya hapo nasoma surat nas X3 surat faraq X3 surat ikhas X3 na ayatul qurs X3 Kisha huplay Quran na kuiacha ikisomwa kuanzia surat fatiha Kisha Baada ya hapo ndipo hulala zangu nikiongezea na maombi mengine ya kiswahili na udambwi dambwi kama kuomba maisha marefu afya njema na mengine mengine si mnajua life yetu hii "pangu pakavu tia mchuzi" bila maombi haiendi.
Basi bhana leo mida ya saa 10 kama sio Kumi basi 11 au 12 alfajir Giza lilikuwepo si haba kwani sikutoka nje na niliona ni Giza kupitia dilisha ambalo japokuwa lilikuwa na pazia ila I trust my eyes.. bila shaka palikuwa Bado hapajakucha.
Nilichokishuhudia ni kwamba wakati nimelala nimeona viumbe wawili wakiwa na mavazi meupe juu mpaka chini mmoja akiwa karibu na kona ya mlango na wapili akiwa kitandani nilipolala nahisi alikuwa akinikanda kanda mkono wangu wa kushoto yani ubavu wangu wa kushoto kwani nilikuwa nimelalia ubavu mmoja nao ni ule wa kulia na uwa kushoto ukiwa huru na ndio ulikuwa juu nae ndio alikuwa kama kanishika na kufanya kama vile anakanda lakini sielewi kitendo kile dhumuni lake au maana yake nini hasa my point ni hapo alikuwa katika ubavu wa kushoto akidili nao wakati huo huo mwingine akiwa katika Kona ya mlango Yani pembe iliyokaeibu na mlango kwa maana ukifungua mlango inakuwa kama Kona.
Huyu aliekuwa nyuma yangu sikufanikiwa kumuona sura na aliepo mbele yangu aliekuwa kasimama karibu na Kona ya mlango huyu pia sikumuona sura bali niliona tu jinsi alivyosimama sijui kama alikuwa kanipa mgongo au la ila nina walakini alikuwa akinitazama tu Kwa maana hiyo sura ilikuwa mbele ila sikuona zaidi ya vazi lake la rangi nyeupe alilovaa kuanzia chini mpaka juu kama kanzu tu ila Tofauti na yake ni kuwa lake lilifika mpaka kichwani.
Wakati nashuhudia ni kama nilikuwa ndotoni lakini ndoto ambayo ni kama nilikuwa naona kinachoendelea ila Sina la Kufanya zaidi ya kutulia tuli kama mtu aliemwagiwa Maji ya baridi sababu sikuweza kufanya chochote zaidi ya kushuhudia tu kitendo kile kwa sekunde zipatazo 30 hadi 40 Kisha nikashituka kutoka katika hali Ile ya kutoweza kufanya lolote nikiwa kama niko ndotoni.
Enyi wana JF naombeni ushauri na msaada wenu ni nini hiki..
Sasa ndugu kwani dhumuni la kuchoma ubani Huwa ni nini hasa ?kabla ya kulala lazima nichome ubani chumbani
Sasa hayo si ndo mnayoyaabudu yamekutokea laivu unashangaa nini? Si ndo majini yenyewe? Yaambie yakupe hela!
Ndio kaka shetani wa zama za mwisho atakuja kama mtakatifu na mavazi meupeSizani kama jini anavaa nyeupe ni vipi kama nikikwambia Hawa ni yesu utasema nini
Mtu akipost hivo watu wanadhania ni utani! Ni vitu ambavyo vinafanyika ila hatuna au ni watu wachache wenye access navyo!Hiyo Part ya mwisho ndo imemiss kwa jamaa. Je baada ya kukandwa alipona?/ Alivyoamka asubuhi alijiskiaje
kwawale wasiopenda salamu hii
Asalam alaykum
Kuna madhara yoyote ikitokea hivyo?Ulichokipata ni jambo la kawaida kwa wataalamu wa somo la usingizi. Kuna hatua mbalimbali za usingizi na mambo mbalombali hutokea kwenye kila hatua.
Kuna njozi hutokea wakati unapokuwa unasinzia au wakati unaelekea kuamka toka usingizini(soma kuhusu: sleeping stages and hypnagogic vs hypnopompic hallucinations).
Njozi wakati unaamka huusisha zaidi mambo yahusuyo: kuona, sauti au vitu kugusa mwili/ngozi. Mfano: ni kuona watu au wanyama kwenye chumba kimoja, karibu au chini ya kitanda. Hali hii huongezeka zaidi kwa watu wanaopata usingizi na ku-paralaizi(sleep paralysis).
Good question.. but sleep paralysis ni same na jinamizi tuKuna madhara yoyote ikitokea hivyo?
Mfano sleep paralysis
Bila shaka hakuna ila.. Kuna baadhi lugha itawakelaAmani iwe nanyi.
Kuna mtu asiyependa Amani iwe naye??
Tatizo watu Wana dharau sana ila ipo siku yatawafka shngonMtu akipost hivo watu wanadhania ni utani! Ni vitu ambavyo vinafanyika ila hatuna au ni watu wachache wenye access navyo!
Sio story! Kuna vitu vingi vinatokea kwenye huu ulimwengu watu hatuvijui au hatutaki kujifunza.
Mfano; hapa ninapoishi sahizi kabla sijahamia nilishaoneshwa katika ndoto.Siku nimefika namwambia mwenzangu mbona hapa nilishawahi kuja pako hivi hivi kama nilivooneshwa kwenye ndoto.
Nyingine Kijijin kwa Wife nilioneshwaga kwenye ndoto kabla hata sijawahi kuonana nae Siku tumeenda mpaka nikawa namwambia mbona huku nilishafika kijiji kipo milimani, udongo mwekundu nyumba zipo hivi na hivi na siku naiona picha yake ni vile vile.
Nyingine; Kwenye ndoto alikuja mkwe wangu baba wa mke wangu ambae alifariki 25 yrs a go ilikua na sijawahi muona alikuja akawa ananimbia mambo fulani fulani.Nilivomuelezea wife kwamba baba yupo hivi na hivi akakili.
Nyingine; huwa naota naponya watu magonjwa mbali mbali; vichaa, e.tc.
Na wengine nikiwaombea uponyaji wanapona kabisa.
E.t.c
Nothing..Sasa ndugu kwani dhumuni la kuchoma ubani Huwa ni nini hasa ?
Kuna madhara yoyote ikitokea hivyo?
Mfano sleep paralysis