Nilichokiona usiku wa leo, msaada wenu wanaJF

Nimechekaaaa hadi baas, khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeyaita mwenyewe kwa hizo surat sasa unaogopa nini!?
 
Kuna aina tatu za ndoto:
1. Ndoto za kibinadamu (Kimawazo)
2. Ki-Mungu (Kiroho)
3. Kishetani

Hiyo ni ndoto ya kawaida tu wala sio mbaya kulingana na kile unachokiamini na kile ambacho huwa unatumia muda kukiomba katika kusali.

Je, huwa unapenda kusikiliza radio au mziki wakati umelala na muda huo kulikua na aina yoyote ya mazungumzo kutoka nje au kwenye radio?
 
Kataa ukubali huo ndo ukweli,bado ujajua siri na yaliyo jificha kwenye ulimwengu wa roho
Siri za Mungu wa kiarabu . Acheni ungese . Hizi Siri ujue wewe Mbongo sio mwarabu .

Quran nzima ni Mohammed alikuwa mfalme muhuni tu technology ilikuwa chini same as the Bible . Bora dawa za kimasai na za kiafrica sio Mungu wa Kiarabu na mzungu Eti Akomboe mbongo .

Jamaa ni ame hallucinate kitu anafikilia kabla ya kulala . Kachukulia muijiza .
 
Hapana sisikilizagi radio wana sipendi miziki wala sijawai kuwa na miziki wala siku ya Jana hakukuwa na mazungumzo yoyote yale
 
Hizi ndoto za wapi ?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ classification gani hii ??

una reference ?! ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ. Hizi ndi ndoto mwamposa anaclassify ?!!
 
Jitahidi huna uelewa basi uwe japo na adabu
 
Shukuru umeshtuka. Yalikuwa yanakukanda kukuandaa.yenyewe hayatumii mafuta. Yanakuchapa nao live
 
Fikra halisi, huja katika lugha asili.


Halafu hapa ndio una omba katika lugha yako, yaani 80% ya maombi ni lugha ngeni.

20% ni lugha mama.
Sasa lugha inahusika vipi mambo wakati lugha ni lugha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ