Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9

yaan mtu akishindwa kufanikisha harakati zake badi lawama zote clouds ebu acheni fikra mbovu sasa kwan hao times na ae radio hawawez kusimamisha wasanii!! clouds oyeeeeee kimbizaaaaaaa
 
hapo nilipo bold .....ni kwamba hujuiiiii.........au unajifanya hujuiiiiii....................au unazuga tu watu waamini vingineeee.......unabisha tuuuuu au nini hasa!!???
 
mkuu hii ndio ilikua inabamba kipindi kile kiukweli belle 9 aliambiwa na uongozi wa clouds kua hajui muziki na kama anataka apikwe vizuri aende tht kitu ambacho alikataa na kama hamjui tuzo za kili zimevamiwa na rugay na wafu agents wengine wengi tu.
 
asante mkuu kwa ufafanuzi!!
 
hapo nilipo bold .....ni kwamba hujuiiiii.........au unajifanya hujuiiiiii....................au unazuga tu watu waamini vingineeee.......unabisha tuuuuu au nini hasa!!???

sijui kama anajua anachobisha, Jide na Rama D kupewa tuzo sidhani kama itaficha uovu wao!!!
 
nlijua utaleta unyoforo wako ni kweli kabisa i used to be bestfriend wa amin mwinyimkuu
belle9 alifanyiwa interview na barnaba i was there na wakamjibu hawezi kuimba dogo alivyotoka boss ruge akawa wa kwanza kumtafuta
kama anakulipa kumtetea kaa kushoto hilo halina siri mjini
 
Mleta uzi hebu weka mikakati ambayo clouds wameandaa kumaliza huu mziki wa kijana. Hawa clouds mbona mnawazungumzia sana utadhani wao ni bonge la MA KING MAKER.
 
Umemaliza ubishi,ILA mangese kama 255,heloo,revo,nyani ngabu & co watakuja hapa na ukuwadi wa mabwana zao kwa hoja za kipuuzi na upumbavu juu!!
 
Umemaliza ubishi,ILA mangese kama 255,heloo,revo,nyani ngabu & co watakuja hapa na ukuwadi wa mabwana zao kwa hoja za kipuuzi na upumbavu juu!!

"Radio imejaa magasho<maliberari> watangazaji wanaliwa kama mboga"- Sugu
 
Last edited by a moderator:
Dah kumbe kuna mashoga mule..ile radio kwli kiboko!
 
Siwezi sema maneno ya mleta mada ni ya kweli ama ya uongo, ila belle9 ni mwanamuziki mzuri na tungo zake zimetulia tuweni wakweli diamond na ben pol hawamfikii belle9. Lakini huwa najiuliza kwa nini huyu kaka hapandi kimuziki! Na hiyo huwa inaniuma sana. Kama kuna mtu anamfanyia fitina belle9 naomba aache mara moja. Its not fair jamani
 
wewe jamaa mbona unakuaga mjinga sana kila linapozungumziwa suala la clouds fm hapa jamii forum! Hata ikiwa ni tuhuma za kweli dhidi yao! Ivi wamekuoa hao!! Acha ushamba wewe.
 
kila mwaka wanamnyima tuzo sijui hadi aende tht rugay amkamerun ndo atapewa duh ila usijali belle 9 komaa ukombozi unakaribia katika gemu la muziki wa kibongo.
 
wewe jamaa mbona unakuaga mjinga sana kila linapozungumziwa suala la clouds fm hapa jamii forum! Hata ikiwa ni tuhuma za kweli dhidi yao! Ivi wamekuoa hao!! Acha ushamba wewe.
 
jamani hata kama Ruge ana mapungufu na makosa yake kwa hili hapana , mengine anasingiziwa...belle 9 kafanya show nyingi tu za fiesta mbona
 
Wacha nisikilize kibao cha YoungKiller kinaitwa Dear Gambe featuring Belle tisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…