Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9

Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9

Kuhusu kutoshine kwa belle 9 siongelei clouds, lakini kiukweli na ukimuuliza mtu anayejua musiccc hasa producer aliyesomea mziki atakwambia kuwa belle 9 anajua sana tena sana.
ni kati ya wasanii wachache wanaoweza kuimba key za juu na ana sauti ya kipekee.
hata mimi nadiriki kusema Ben Pol na Diamond kwa belle 9 wanasubiri.
lakini kila mtu ana bahati yake si bongo tu hata mbele kuna watu wanakubarika kuwa wanajua kuimba sana lakini hawapigi mpunga sana kama wengine.

WORD....Mimi sio mtaalamu wa muziki ila ni msikilizaji mzuri na nadhani nina vigezo vyangu vya kuvutiwa na muziki. Nakubali kuwa Tanzania inao waimbaji wazuri wala sio Bell 9 peke yake.

Marehemu Marijani sio kwamba alikuwa na sauti inayomtoa nyoka pangoni, hata kwa ufahamu wangu mdogo wa utaalamu wa muziki hili nalitambua kupitia masikio yangu. lakini hata leo hii ninapokuwa popote pale nikiisikia sauti ya Marijani lazima nitulie nisikilize mpaka wimbo uishe. Na ninaamini hili halitokei kwangu pekee, tupo watanzania wengi.

US kuna kina dada kama Tchina Anold, Tisha Campbel...je umewahi kuwasikia hawa wadada wakiimba ? wasanii wengi maarufu tunaowajua duniani hapo kwao watasubiri, lakini jiulize kwa nini wameamua kubaki tu kama waigizaji ?

Mwisho wa siku kipaji na mafanikio ni idara mbili tofauti.
 
Hivi kweli vilio vinavyopaswa kuelekezwa BASATA, COSOTA n.k anarundikiwa Ruge na clouds, wao BASATA, COSOTA wame relax wanakula viyoyozi tu maofisini....kaaazi kwelikweli.

Umeona eeh?
 
Mkuu nimeshajaribu sana lakini kila nikipata dili ruge huyo,analeta fitina na kuchukua hilo dili kama alivyomfanyia sugu.

Wafu fm ni wanyonyaji tu mkuu,wasanii wanaowapigia magoti ni wale waoga wa maisha ndy maana wanaishia kujipiga

mapouda!..

Wewe umekatazwa kuwa dalali? nauliza tu.
 
Yesuuu Wangu!!
Belle9 ni zaidi ya Diamond na Ben Pol???!
Kama hujui music, usiongelee music.
huo mfano wako umeharibu kabisa ujumbe uliokusudia.
Jesus!

Acha ubwege sasa!we belle 9 msanii kupita hao..sema promo hana..huo unazi sasa
 
unajua maana ya kutetea? naomba mtu anayesema clouds inaua vipaji atoe tangible evidence kwamba wanaua vipaji kivipi?? sio kubwaja bwaja tuu, redio zipo nyingi sana hapa nchini je kuna ulazima kwa msanii kupeleka nyimbo zake clouds?? huyo bele 9 anayesema ananyonywa kila show ya fiesta hakosi kwani amelazimishwa?? wasanii kibao nchini huwa wanaomba kila mwaka wajumuishwe kwenye show za fiesta

Kijana inaonyesha bado hujisomi..hivi hizi kelele zote kuhusu ruge na clouds yake unafikiri wanatunga?lazima utambue kitu kimoja clouds imefanikiwa kumonopolise segment ya bongo flava tokea zamani tena kwa msaada wa viongoz wa serikali yako,ndo maana wanaweza wakaamua nani avume nani awekwe kapuni.
 
Kimsingi kama hupo kwenye industry husika au huna ukaribu na hiyo industry huwezi kuelewa jinsi hiyo clouds fm inavyoua vipaji na muziki kwa ujumla..ila hata US kuna radio nyingi but artist wanadream ngoma zao kupigwa on HOT 97, the same applied inhere,clouds wamewateka mpaka watangazaji wa radio nyingine(its like the company on prison break ilivyokua inarun things directly and indirectly)..sasa its complicated but hao clouds wanaharibu sana..rama d,belle 9,nuruel ni wakali sana compared to those wanaoshine..siwez sema hawana nyota kali wakatingoma zao nazisikia sana kwenye michina uswahilini..like ccm,mwisho wao hao clouds upo njiani
 
Kimsingi kama hupo kwenye industry husika au huna ukaribu na hiyo industry huwezi kuelewa jinsi hiyo clouds fm inavyoua vipaji na muziki kwa ujumla..ila hata US kuna radio nyingi but artist wanadream ngoma zao kupigwa on HOT 97, the same applied inhere,clouds wamewateka mpaka watangazaji wa radio nyingine(its like the company on prison break ilivyokua inarun things directly and indirectly)..sasa its complicated but hao clouds wanaharibu sana..rama d,belle 9,nuruel ni wakali sana compared to those wanaoshine..siwez sema hawana nyota kali wakatingoma zao nazisikia sana kwenye michina uswahilini..like ccm,mwisho wao hao clouds upo njiani

Wewe ni Sajo wa Daz Nunda? nijibu hata kwa PM kama hutamaind!
 
eti tuzo anapewa amin simply kwakua yuko THT,mwanafa anasifiwa na clouds fm eti kwa wimbo'kama zamani' ndio huyu huyu aliyewahi kugomea kushiriki tuzo miaka kadhaa iliyopita,nan asiyejua haohao clouds walkuwa wakiwabania river camp solders akina joh makini,jamaa alipishana na tuzo nying kwa kubaniwa,ni hawahawa clouds leo tunasikia wakisifia kundi weusi,clouds sijui wereva imefika wakat mjue kuwa wasanii wa huu muziki mnaouteka wanategemea kipato toka music il waendeshe maisha yao,msiwafanye wawe mateja jaman,msiwababishie misongo ya mawazo,tunachukulia poa lakin ikifanyika research study juu ya maisha ya wasanii hakika clouds itagundulika kua moja ya chanzi cha kuarib maisha ya wasanii na kuchangia vifo pia.
 
Men at work!!promotion
Hili nalo ni tangazo sema halijalipiwa!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kama kwel huo mpango upo basi watashindwa tu,coz Belle 9 ataendelea kutesa tu siku zote!kaza buti Belle 9 achana nao hao MASHANKUPE
 
huu ni umbeya hakuna kitu kibaya kama mwanaume mtu mzima kukaa chini na kupika umbeya na uzushi, unataka kuimbia dunia tuzo za ktma zinaratibiwa na cloudz fm??? mbona wasanii kibao tuu wanaoipinga cloudz fm akiwemo jide komando wamepata tuzo za ktma??? inahitaji moyo kweli kutunga stori za kimbeya

Hivi wewe Mhaya akili yako ina settle sehemu gani ya mwili? Soma maada vizuri na kuiewa sio unakurupuka from No whr unaropoka... F*****k
 
kama alitoka bila ya clouds sasa clouds watamzima vipi? si atumie radio nyingine. kama ipo ipo tu, kama mkali apige show hata ya peke yake watu watakuja tu.
 
point of correction; kwani hapa bongo radio ipo hiyo peke yakee na kama aliweza kuandika hit song ya sumu ya penzi without clouds na akapata jinaa anashindwaje kujiendeleza mwenyewe au tatizo kupata show, but mbona show kibao za fiesta kafanya , cha kushangaza hao hao wapinzan wa clouds EATV hata show za kili tour kikwetukwetu hawampi shavuu au na hzo show clouds wanaingiza fitna, acheni hizo banaa hata kama mna hate cloudz co kihivooo.!
nionavyo MIMI; belle9 v/s ben paul , me kura yangu nampa ben paul..!@overrr
 
Last edited by a moderator:
Belle naija cjui tatizo liko wapi mana kama kwa sauti uyo Diamond na Ben Paul watasubiri miaka 800 na kibongo bongo bila promo za kutosha utachora chini sasa hapa nikionacho ni kwamba belle naija kachora chini tena wakati mvua inanyesha
 
Back
Top Bottom