Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9

Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9

Ni kwanini kampuni ya mawingu wanawabania na kuwamaliza wasanii kimuziki
 
jamani mbona hiyo nyimbo ya bele nimeona iko kwenye top 20 clouds tv, hv hawa clouds wanawashughulisha nn hasa jamani
 
mti wenye matunda ndo unaopiga mawe na pia bila maadui hauwezi kufanikiwa kama clouds wanabana kupiga nyimbo zenu mbona redio ziko nyingi na mbona bele 9 yuko juu tu hata kama clouds wanambania. hizo ni akili mgando anzisheni redio zenu basi,
 
na wewe unayesema unamkubali bele 9 je umeshawahi kujishugulisha kumpigia kura hata siku moja ili ashinde hizo tuzo. acheni unafki na kuwafanya clouds waonekane wabaya wa kila kitu
 
Hujinga huu, sasa najiunga rasmi na Nyani Ngabu kuwatetea Clouds kwa hata ujinga ambao hauwahusu, huku tunakoelekea sasa hata ukosefu wenu wa nguvu za kiume kwa ajili ya kula michips yai mtawasingizia clouds Fm na Ruge, Nyambafu kabisa.

Kuna wengine tunaitetea Clouds sio kwamba watu wema kiasi hicho, ila ni kutokana na mambo kama haya. Kuna issue nyingine wanasingiziwa za kipuuzi kabisa ambazo hata hazihitaji akili ya darasa la kwanza ndio ugundue.

Mfano Ngwea kafa kutokana na madawa yake ya kulevya bado kesi wamewapa Clouds kwamba ndio walim stress hadi akaanza kutumia madawa, je kila anayepewa stress solutions ni drugs?

Leo hii zimekuja habari za Belle kuwa anabadiwa wakati wimbo wake upo hadi kwenye top 20 ya Clouds na fiesta zote anashiriki sasa hapo anabaniwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Ninadhani watu hamuelewi mambo mengi kuhusu huu muziki mkaa kishabiki tu.

Cloudz hawalalamikiwa kwa kutopiga tu nyimbo za wasanii lakini kikubwa kinachoua wasanii ni wao kujifanya madalali kila

dili ya muziki wao wanataka wao mtu wa tatu hivyo kuvuruga opportunity nyingi wanazozipata wasanii ikiwa tu

watakataa wafu fm kuwa dalali.

F****k wafu fm.

unajua maana ya kutetea? naomba mtu anayesema clouds inaua vipaji atoe tangible evidence kwamba wanaua vipaji kivipi?? sio kubwaja bwaja tuu, redio zipo nyingi sana hapa nchini je kuna ulazima kwa msanii kupeleka nyimbo zake clouds?? huyo bele 9 anayesema ananyonywa kila show ya fiesta hakosi kwani amelazimishwa?? wasanii kibao nchini huwa wanaomba kila mwaka wajumuishwe kwenye show za fiesta
 
Ninadhani watu hamuelewi mambo mengi kuhusu huu muziki mkaa kishabiki tu.

Cloudz hawalalamikiwa kwa kutopiga tu nyimbo za wasanii lakini kikubwa kinachoua wasanii ni wao kujifanya madalali kila

dili ya muziki wao wanataka wao mtu wa tatu hivyo kuvuruga opportunity nyingi wanazozipata wasanii ikiwa tu

watakataa wafu fm kuwa dalali.

F****k wafu fm.
Wewe umekatazwa kuwa dalali? nauliza tu.
 
Hivi huyu Ruge ana ushawishi wa kiasi gani???mpaka kila mdau wa muziki asikilize mawazo yake pekee???Yaan huko BASATA hakuna anayefikiri vizuri...kila mtu anamlilia njaa yeye tuu???SIDHANI.....

Hahahahhhh. BASATA? COSOTA? Wizara ya habari? say it again. Wamefeli kabisa kunyanyua kazi za sanaa
 
Kama umeusikiliza wimbo unaoitwa "listen" ni takribani miezi mitatu toka utoke, lakini sasa upo kapuni!!
Hapa ndipo ninapotofautiana na watu humu jamvini!! Wimbo upo Kapuni, kapu lipi? Kapu la Clouds au Radio zote? Hivi kwani ni lazima nyimbo ya mtu ipigwe Clouds ndipo ionekane habaniwi?!Kwanini mtu "kubaniwa" na Clouds tu iwe ndo tayari ameshamalizwa?
 
Hujinga huu, sasa najiunga rasmi na Nyani Ngabu kuwatetea Clouds kwa hata ujinga ambao hauwahusu, huku tunakoelekea sasa hata ukosefu wenu wa nguvu za kiume kwa ajili ya kula michips yai mtawasingizia clouds Fm na Ruge, Nyambafu kabisa.
Afadhali umeamua kujivua GAMBA. LOL!! Yaani ni mambo ya ajabu sana!!! Hapa Dar , studio nyingi ni vijiwe vya kula ganja....lakini wasanii wanapogeuka na kula unga, wanasema Clouds wanawa-stress!! Miongoni mwa studio nyingi ambazo nimepata kwenda, nilishangaa hali kama hiyo nilipoikuta hata SoundCrafters kwa jinsi Enrico anavyoonekana mstaarabu!! Lakini hata pale, ukifika unakuta furushi la ganja limewekwa(labda waache siku hizi).....baadae wale wale waliokuwa wanakula ganja wakibadilika kuwa wala unga; pira linatupwa kwa Clouds!!
 
Kuhusu kutoshine kwa belle 9 siongelei clouds, lakini kiukweli na ukimuuliza mtu anayejua musiccc hasa producer aliyesomea mziki atakwambia kuwa belle 9 anajua sana tena sana.
ni kati ya wasanii wachache wanaoweza kuimba key za juu na ana sauti ya kipekee.
hata mimi nadiriki kusema Ben Pol na Diamond kwa belle 9 wanasubiri.
lakini kila mtu ana bahati yake si bongo tu hata mbele kuna watu wanakubarika kuwa wanajua kuimba sana lakini hawapigi mpunga sana kama wengine.
 
Kuna mwingine huyu Rama d, jamaa anajua sana kuimba na kuandika nyimbo. Nadhani hqyupo serious sana na muziki au na yeye ndio hajapata bahati ya kutoka kiivyo. Ukimlinganisha na wasanii kama Diamond au Ommy Dimpoz utagundua hawa jamaa wana bahati na promo pamoja na management zao zinajua kazi, ila wanafanya nyimbo za kawaida tu.
 
Mleta uzi hebu weka mikakati ambayo clouds wameandaa kumaliza huu mziki wa kijana. Hawa clouds mbona mnawazungumzia sana utadhani wao ni bonge la MA KING MAKER.
HAKIKA, HAWAJITAMBUI na kutokana na kutojitambua kwao ndo kama unavyosema as if Clouds ni KINGMAKERS to the point that bila Clouds you're done!! Kwa akili ndoo ndogo wanazani wanaiponda Clouds kumbe umakini wake ni kwamba wanatuambia kwamba ukibaniwa na Clouds, ndo basi tena!
 
Kuna mwingine huyu Rama d, jamaa anajua sana kuimba na kuandika nyimbo. Nadhani hqyupo serious sana na muziki au na yeye ndio hajapata bahati ya kutoka kiivyo. Ukimlinganisha na wasanii kama Diamond au Ommy Dimpoz utagundua hawa jamaa wana bahati na promo pamoja na management zao zinajua kazi, ila wanafanya nyimbo za kawaida tu.
KIla kiu kinasimama hapo kwenye RED haya mengine ni blah blah tu!! Muziki wa Bongo Flavor ni fitina mtindo mmoja, from A-Z. So, unapokuwa na management isiyofahamu fitina ya industry ya Bongo Flavor, then you're done! Generally speaking, nyimbo zinazopigwa redioni ni less than 10% ya zile ambazo zinapelekwa....na sio Clouds tu, bali redio zote...wanazopiga ni chache sana kati ya zile wanazopokea!! Sio kwamba zote hizo ni mbaya, unaweza kuta zipo tight kuliko zinazopigwa....lakini wasanii wamekosa managament inayofahamu ni namna gani soko la huu muziki linaendeshwa endeshwa vipi!!
 
huu ni umbeya hakuna kitu kibaya kama mwanaume mtu mzima kukaa chini na kupika umbeya na uzushi, unataka kuimbia dunia tuzo za ktma zinaratibiwa na cloudz fm??? mbona wasanii kibao tuu wanaoipinga cloudz fm akiwemo jide komando wamepata tuzo za ktma??? inahitaji moyo kweli kutunga stori za kimbeya

Duh......umetumia mbinu gani kutambua jinsi ya mleta uzi ? labda ni mdada unamshutumu bure.
 
Sijui vigezo vyenu vya kutambua msanii mkali zaidi ya mwingine, au muziki mzuri. Lakini hebu tuongee hali halisi ilivyo mtaani kwa sasa. Kwenye kila watu mia mtaani, ukiweka spika mbili tofauti moja ina wimbo wa "muziki gani..Nei na Diamond" na spika nyingine ikawa na wimbo wowote mpya/mzuri unaoupendekeza kutoka kwa Belle 9 basi kura tisini kama sio mia zitaenda kwa "muziki gani" namuaminia Nei lakini kusema ukweli wengi pale wanamuangalia Diamond. Sasa hapa clouds wanahusikaje. wao ndio wanaandaa wimbo na kugawa kwa wasanii wanaowachagua ama ?

Pia kama mliomba support mara ya kwanza bila mafanikio, na baada ya kupitia mlango mwingine ukatoka wakakualika ukakataa kwa kuamini kuwa mliye naye ndiye atakufaa, sioni sababu zozote za kumlalamikia yule aliyekukataa kwa kuwa tu uridhiki na maendeleo yako.
 
Hahahahhhh. BASATA? COSOTA? Wizara ya habari? say it again. Wamefeli kabisa kunyanyua kazi za sanaa

Hivi kweli vilio vinavyopaswa kuelekezwa BASATA, COSOTA n.k anarundikiwa Ruge na clouds, wao BASATA, COSOTA wame relax wanakula viyoyozi tu maofisini....kaaazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom