Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9

Tuzo hata wasipompa dogo apige tu show zake iko cku nae atakua juu....vitamin music hili songi ni hatari dogo anajua kutunga nyimbo plus kuimba
 
Naombeni Link nikamsikilize jamani

Bado anaimba?

Inabidi aanze kujirusha nasi tutamrusha.

Napenda wasanii wanaofanya kazi kwa bidiii bila kutaka wengine washuke.
 
Ruge mbona wewe wewe wewe ulizani dunia hii ni ya mzungu sote tutapita leo hii hata hujazikwa marawama kibaoo ohh rip
 
Kila binadamu anamakosa yake. Hizi nyuzi zinafukuliwa ili wanaomtetea mtu blindly waone kuwa huyo mtu was not a saint.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Clouds Media Group ndio chama kubwa la Entertainment, wana connections na facilities kibao za kufanya mtu akue kimziki thats why ndio wamekuwa kimbilio la wasanii wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…