tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Tuzo hata wasipompa dogo apige tu show zake iko cku nae atakua juu....vitamin music hili songi ni hatari dogo anajua kutunga nyimbo plus kuimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni majungu...haya ameondoka sasa hao wasanii wenu bila shaka wataanza kuhit coz aliyekuwa anawabania hayupo tena
Acheni majungu...hao wasanii wenu waliobaniwa na ruge sahv wajenge magorofa coz mnyonyaji hayupo tenaRuge mbona wewe wewe wewe ulizani dunia hii ni ya mzungu sote tutapita leo hii hata hujazikwa marawama kibaoo ohh rip
Majungu gani ndg?Acheni majungu...haya ameondoka sasa hao wasanii wenu bila shaka wataanza kuhit coz aliyekuwa anawabania hayupo tena
Kwann upate shida? We ndo marehem Mutahaba?Mnayoyaongea hapa...sijui flani anamshusha fulani...hizo ni lawama za kipumbavu na uongo
inakuaje mkuu alaumiwe sana yeye tena lawama sio za leo useme kafa ndo wanaanza kumsingiziaAcheni majungu...hao wasanii wenu waliobaniwa na ruge sahv wajenge magorofa coz mnyonyaji hayupo tena
Clouds Media Group ndio chama kubwa la Entertainment, wana connections na facilities kibao za kufanya mtu akue kimziki thats why ndio wamekuwa kimbilio la wasanii wengi.unajua maana ya kutetea? naomba mtu anayesema clouds inaua vipaji atoe tangible evidence kwamba wanaua vipaji kivipi?? sio kubwaja bwaja tuu, redio zipo nyingi sana hapa nchini je kuna ulazima kwa msanii kupeleka nyimbo zake clouds?? huyo bele 9 anayesema ananyonywa kila show ya fiesta hakosi kwani amelazimishwa?? wasanii kibao nchini huwa wanaomba kila mwaka wajumuishwe kwenye show za fiesta