Wewe eti mishikaki ya Beff kakuambia naniii huko Gitega ushakulaa Sokwee wewe suburi Ebolaa inakunyemelea kulakulaa tuu vitu unajisina bia yakooHabarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus
Habarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus
Bwegee ndio wewe eti unajisifuu Mishikaki suburi Ebolaaaaa usikuu huuu ukianzaa kuvuja damu kwenye ulimii tayari tutakija kukuchuka maana wewe ni mtanzania mwenzetuuu afuu ndio tutakoma.kufarakamiaa vituu vya watuuuWewe bwege hicho ni kifupi cha faranga ya Burundi.
Zikianza shaba kurindima ndio utaujua uzuri wa BurundiHabarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus
Kutokana na hali ya kiusalama sitathubutu kutia mguu huko kwenye mabanda samahani sana.Primus sio bia ya watu wa hali ya chini ila kuna bia inaitwa Nyongera hiyo kila mrudi anakunywa kwa Tsh ni kama 700/= tembelea Mabanda hadi Bujumbura.