Nilichokutana nacho Burundi

Nilichokutana nacho Burundi

chanaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
344
Reaction score
190
Habarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus
 
Hiyo hata huku kuna kpnd ilikuwa inaletwa,,,ya kawaida mbona
 
Uzi kama huu kukosa picha unakuwa hauna maana
 
Attachments

  • 1530467486120926953364.jpg
    1530467486120926953364.jpg
    98.9 KB · Views: 58
Habarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus
Wewe eti mishikaki ya Beff kakuambia naniii huko Gitega ushakulaa Sokwee wewe suburi Ebolaa inakunyemelea kulakulaa tuu vitu unajisina bia yakoo
Kula ulivyozoee
 
Primus sio bia ya watu wa hali ya chini ila kuna bia inaitwa Nyongera hiyo kila mrudi anakunywa kwa Tsh ni kama 700/= tembelea Mabanda hadi Bujumbura.
 
Wewe bwege hicho ni kifupi cha faranga ya Burundi.
 
Vipi wadada wa huko wana chura kama huku dsm???
 
Habarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus

Kulakula tu mtalishwa hadi mimbwa koko nyie
 
Wewe bwege hicho ni kifupi cha faranga ya Burundi.
Bwegee ndio wewe eti unajisifuu Mishikaki suburi Ebolaaaaa usikuu huuu ukianzaa kuvuja damu kwenye ulimii tayari tutakija kukuchuka maana wewe ni mtanzania mwenzetuuu afuu ndio tutakoma.kufarakamiaa vituu vya watuuu
 
Habarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus
Zikianza shaba kurindima ndio utaujua uzuri wa Burundi
 
Primus sio bia ya watu wa hali ya chini ila kuna bia inaitwa Nyongera hiyo kila mrudi anakunywa kwa Tsh ni kama 700/= tembelea Mabanda hadi Bujumbura.
Kutokana na hali ya kiusalama sitathubutu kutia mguu huko kwenye mabanda samahani sana.
 
Back
Top Bottom