Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

Yaani vielfu 5 na vielfu 10

Unajiona umetooooooooa

Na kama kakubali kuacha kazi kwa 5 nae atakua kicherema.......


Wenzio wanatoa laki 8 za kusuka wewe kuongezea 10 umepata nooooongwa.....
 
Kuombwa 10k ya kusuka ushaona mtu ana tamaa
Tatizo hamjielewi mtu amekupa hela bure bila kuombwa unataka uanze kumtupia mizigo yako yote.
Hujiulizi wewe umempa nini cha maana hadi umpe mtu stress
 
daaah nimeiangalia RR ya Giningi ilivyotekea kwa moto..

huku jamaa few hrs katoka kujisifu anakwenda kuoga champagne.

Haya maisha hayana maana kabisa
Maisha yanahitaji nidhamu ya hali ya juu sana,no matter who you are.
 
Tatizo hamjielewi mtu amekupa hela bure bila kuombwa unataka uanze kumtupia mizigo yako yote.
Hujiulizi wewe umempa nini cha maana hadi umpe mtu stress
Mleta mada ndiye aliyejitwisha mzigo wa hizo gharama toka mwanzo,hakuombwa,unamwambia mtu aache kazi inayomuingizia kipato kisha akikuomba hela inakua nongwa!

Mleta mada tatizo lake kaileta mada huku kaigeuza,mbele kapeleka nyuma kisha nyuma akapeleka mbele ndio maana anaonekana ni kituko hapa.
 
Mungu akusamehe alie kupa wewe ndie kamcheleweshea yeye asie ogopa sana mshtuko wa mwanamke
 
Mleta mada ndiye aliyejitwisha mzigo wa hizo gharama toka mwanzo,hakuombwa,unamwambia mtu aache kazi inayomuingizia kipato kisha akikuomba hela inakua nongwa!

Mleta mada tatizo lake kaileta mada huku kaigeuza,mbele kapeleka nyuma kisha nyuma akapeleka mbele ndio maana anaonekana ni kituko hapa.
Mimi nilichomuelewa ni kwamba alimpa tu future plan kwamba atakuja kumfungulia biashara nyingine afanye na amuachishe kazi,lakini bado alikuwa hajaacha kazi.
Sasa kama bado alikuwa hajaacha kazi alitakiwa kubalance aende naye polepole na sio kumkomoa na mizigo yote eti kisa mtu amesema atakuja kuwa mdhamini wako baadae.
 
Hakuna mwanaume mwenye atakusapoti kwa huu utopolo.
 
Mkuu....

Huyo Manzi Wala hajaathirika KISAIKOLOJIA...zaidi yako wewe kupoteza FEDHA YAKO(haina maana uliyotoa haina thamani...).

Wewe wala hukuwa wa kwanza kupigwa VIZINGA HIVYO....
Wala wewe hutokuwa wa MWISHO kupigwa MARUNGU HAYO.....

Wengi wa mabinti hao wana PTSD(post traumatic stress disorder)...
Wengi wa mabinti hao WAMETOKEA Katika UFUKARA na UMASKINI....wako KIKAZI zaidi na wala hawana HISIA ya kuumizwa eti kwa kuwa WINDO LAO(wewe) Limepeperuka....

Wao wako na SURVIVAL OF THE FITTEST na mtondogoo atatokea BOYA MWINGINE(jokes) ili watumie mbinu Nyingine.....

Hizi "genye" kwetu sisi wanaume ni changamoto HASWA....
Mungu ametupa "genye" na akatupa nguvu ya KUTAFUTA PESA...unapopata MTONYO uchaguzi unabaki kwako.....

Uzitumie kuponya GENYE na upate maumivu ya KUZINGULIWA NA MIZINGA....
Ama uzitumie kuponya GENYE upate maumivu hayo ULIYOTISIMULIA Halafu wala USIJALI,UPUUZE NA USONGE MBELE na iwe BUSINESS AS USUAL kwa mtoa pesa na mtoa "huduma".


Karibu ufukweni Copa Cabana hapa jijini Rio de Janeiro!!
 
Yapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka. Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka.
Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa.
Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena .
Nikamaliza kwa kumblock.
Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi.
Mmoja aliumia mpaka akadata.
😂😂
 
Sasa iyo 30000 ungetumia kitu Cha maana ulikua una mkomoa yeye au wewe inamanisha inakuuma iyo hell ndiomana ume ileta huku

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom