Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

Yapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka. Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka.
Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa.
Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena .
Nikamaliza kwa kumblock.
Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi.
Mmoja aliumia mpaka akadata.
Kama huwezi kumpenda basi usimuumize
Ungemuacha tu na maisha yake na wew ubaki na hela zako.
That was too simple, What you did was inhuman.
 
Kumbe bado hujakua?.
Jifunze kuheshimu wengine.
 
Nature ilifanya kazi kubwa kuficha bongo za watu kwenye mafuvu ya vichwa.

Bongo nyingine zikivuja italazimu kuvaa barakoa.
 
Yapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka. Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka.
Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa.
Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena .
Nikamaliza kwa kumblock.
Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.
What hell is this, bora nimtumie mother tu kuliko kumpa mtu asiyejielewa.
Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi.
Mmoja aliumia mpaka akadata.
Kapige puli bro,Mwanamke kaumbwa kupewa tena nanukuu msemo mmoja "Take this and spend money for no reason "..
 
Tatizo hamjielewi mtu amekupa hela bure bila kuombwa unataka uanze kumtupia mizigo yako yote.
Hujiulizi wewe umempa nini cha maana hadi umpe mtu stress
Tatizo mtoa mada alimwambia aache kazi atamuwezesha, hivyo bibie akaona bora atoe shida zake ili awezeshwe kabisa. (Kama huna uwezo usihaidi).
 
Doh Ndugu Jumbe hebu tuongelee habari za Kule Chamazi naona kwa sasa pamekua mji mkubwa sana.
Ha

Ha ha ha ha ha ninaamini ulipomtibu na kupona...ulimpima HIV STATUS na magonjwa mazito ya ngono halafu nawe UKAMPAKA nanihii na KUTAMBAA NAE...[emoji23][emoji23]utasema dokta wangu?!!!
 
Two weeks ago kuna rafiki wa kike alikuwa analalamika kuwa mtaji wake umekata(of coz ni mtaji mdogo as biashara ni ndogo tu), nikaona anazidi kulalama tu wakati tunastorisha, nikajua she's asking for cheddar indirectly, nikaona huyu ni rafiki tu, what are friends for, ngoja nimpe (kumbuka hata mimi nanga zinapaa hapa).

Hizo asante nilizopewa wallah Mungu asiponibariki basi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Juzi naona msg yake ina neno "mpenzi", sijaelewa hadi leo kichwa "kinauma"...teh teh! Shida ni kuwa funguo za zipu zangu anazo wife[emoji23][emoji23]
 
@Karma come read this.

Babe nina shida kweli.
 
Anakuteteaga sana, sasa nataka aone madudu yako.

Kwani hiyo shida yangu hujaiona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila funguo za zipu yangu si unazo?

Wewe tena, sema shida yako japo hapa nina buku mbili ya kuanzia asubuhi...
 
Yapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka. Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka.
Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa.
Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena .
Nikamaliza kwa kumblock.
Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.
What hell is this, bora nimtumie mother tu kuliko kumpa mtu asiyejielewa.
Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi.
Mmoja aliumia mpaka akadata.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama milioni 5...!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila funguo za zipu yangu si unazo?

Wewe tena, sema shida yako japo hapa nina buku mbili ya kuanzia asubuhi...
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom