enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,109
- 3,677
Hapo akikutana na wajinga wengine kama wewe wanampa hizo ten ten na hawapi mzigo si atasonga tu mjini
JARIBU KUWA UNASOMA VIZURI..Kuombwa 10k ya kusuka ushaona mtu ana tamaa
Nikupe 50K una hiyo vagina kweli ya 50K.Yaani nilijua nakuja kusoma bonge la story mpaka niiote usiku, nashangaa nakutana na vitu vya ajabu wooiiii...
Unaniomba hela baada ya kutangaza mgegedo..Umeshamuahidi kumuwezesha halafu anakuomba umewezeshe hiyo 10K ya kusuka unamuona mdangaji 🙄
Kweli binadamu hatujui tunataka nini
Hii kaongezea baada ya watu kumgeuzia kibao. Hata haikuwepo mwanzo. Muongo huyoJARIBU KUWA UNASOMA VIZURI..
Shida ni hii hapa
"" Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.""
#YNWA
Wewe ndiye umeathirikakisaikolojia mpaka ukafungua thread, yeye ela yako kala nyuchi hajakupa, na huenda ashakusahau. Unadhani uko peke yako, mwenzio atakuwa nao wengi tu na alikuwa anakuona boya tu unatoa toa pesa bila sababu ya msingi.Yapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka. Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka.
Sijafanya naye sex bado.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daddy naomba hilo pepo chafu la usaliti lishiiiiiiindwe na lilegee kabisa 'shika raba yako nipe sendo yangu'
Hahahahahaha nimecheka sana, yaani umeona aibu jinsi ulivyozodolewa ndio ukaamua kwenda kuedit post kwa kuongezea vitu sivyo kwa bahati mbaya kuna jamaa Jumbe Brown aliquote original uzi wako so huna pa kutokea jombaaa,Yapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka.
Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka. Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa. Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena.
Nikamaliza kwa kumblock.
Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.
What hell is this, bora nimtumie mother tu kuliko kumpa mtu asiyejielewa. Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi. Mmoja aliumia mpaka akadata.
Yaan jamaa kazingua sana, inaonesha huyu kapigwa zaidi ya hela aliyoiandika,Hii kaongezea baada ya watu kumgeuzia kibao. Hata haikuwepo mwanzo. Muongo huyo
JARIBU KUWA UNASOMA VIZURI..
Shida ni hii hapa
"" Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.""
#YNWA
Nikupe 50K una hiyo vagina kweli ya 50K.
"" Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.""
#YNWA
Unaniomba hela baada ya kutangaza mgegedo..
Are you selling...
"" Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.""
#YNWA
Guys, hamjagundua kama huyu Liverpool VPN ni yeye huyo Sandali AliHii kaongezea baada ya watu kumgeuzia kibao. Hata haikuwepo mwanzo. Muongo huyo
Mimi naona ni muongo tu ametaka na yeye aonekane ameweka uzi wa kuwaponda wanawake tu kumbe kiuhalisia hamna kitu.Yaan jamaa kazingua sana, inaonesha huyu kapigwa zaidi ya hela aliyoiandika,
Sio kwa kuweweseka huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi naona hizi ni akili za kitoto. Hamna uhalisia hapaHahahahahaha nimecheka sana, yaani umeona aibu jinsi ulivyozodolewa ndio ukaamua kwenda kuedit post kwa kuongezea vitu sivyo kwa bahati mbaya kuna jamaa Jumbe Brown aliquote original uzi wako so huna pa kutokea jombaaa,
Yaan wewe ndie umedhihirisha kabisa vile ulivyoathirika kisaikolojia, hahaha huyo Barmaid natamani ningemjua nimpongeze hata kwa laki, hahahaha.
Yupo depressed,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi naona hizi ni akili za kitoto. Hamna uhalisia hapa
😂😂 Kwi kwi kwi kwiHahahahahaha nimecheka sana, yaani umeona aibu jinsi ulivyozodolewa ndio ukaamua kwenda kuedit post kwa kuongezea vitu sivyo kwa bahati mbaya kuna jamaa Jumbe Brown aliquote original uzi wako so huna pa kutokea jombaaa,
Yaan wewe ndie umedhihirisha kabisa vile ulivyoathirika kisaikolojia, hahaha huyo Barmaid natamani ningemjua nimpongeze hata kwa laki, hahahaha.
Yupo depressed,
Kuna maisha anayaota lakini bado hajayafikia so he is trying to fake it, na hayo maisha zaidi yapo jf.
We mzee tuache bana.Samahani mkuu...
Hivi hizo za 3,000 ndio zile huwa naskia Daslam unapat hadi zakupima..??
Umasikini ni kitu kibaya sanaYapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka.
Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka. Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa. Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena.
Nikamaliza kwa kumblock.
Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.
What hell is this, bora nimtumie mother tu kuliko kumpa mtu asiyejielewa. Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi. Mmoja aliumia mpaka akadata.
Kwa hiyo nivue mkanda mkuu?Achamambo yako kama wife anafunguo fungus mkanda
🤣🤣🤣Mkuu unataka tujue kama una million 5 ili iweje?