Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

Utaumia wewe umetoa ela bila kula mzigo yeye katoa nn hadi aumie?
Anyway tumejua una 5m
 
Yaani mwenyewe kaona kanifunga kamba wakati home alirudi saa7 usiku, kumbe yupo na mpenzi rafiki. Nami nitamwonyesha ushirikiano tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alibanwa na kazi tu jamani usiwe hivyo
JamiiForums-486168028.jpg
 
Guys, hamjagundua kama huyu Liverpool VPN ni yeye huyo Sandali Ali

Hahahahaha man you try so hard but lemme ask you something, is it worth, to do all this?
Liverpool VPN ni Liverpool fan.

Napigwaga sanaa ban then nabadilishaga tu jina la mbele ila nyuma ni like lile LIVERPOOL #YNWA

Hii account soon nayo nitachezea BAN maana wanafuta hao thread zangu.

Nilipigwa Ban then kwakua ni LIVERPOOL HARD DIE.

Nimebadilisha kidogooo.

#YNWA
 
Hebu nitafutie mke mwenza, nishachoka kuwa peke yangu.
Khaa mama unataka mke mwenza tena [emoji848][emoji848]
Anhaaa nimegundua siyo kosa lako kule kwa wengine ulizoea mko wengi kwahiyo umempata baba yangu amekuweka peke yako unamsumbua mwe kweli wanawake ndiyo maana tunaambiwa hatujui tunataka nini [emoji2296][emoji2296]
 
Khaa mama unataka mke mwenza tena [emoji848][emoji848]
Anhaaa nimegundua siyo kosa lako kule kwa wengine ulizoea mko wengi kwahiyo umempata baba yangu amekuweka peke yako unamsumbua mwe kweli wanawake ndiyo maana tunaambiwa hatujui tunataka nini [emoji2296][emoji2296]
Peke yangu sichangamki bwana. Raha tuwe angalau wawili.
 
Yapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka.

Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka. Sijafanya naye sex bado.

Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.

Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa. Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena.

Nikamaliza kwa kumblock.

Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.

What hell is this, bora nimtumie mother tu kuliko kumpa mtu asiyejielewa. Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.

Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi. Mmoja aliumia mpaka akadata.
2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Daaaaaaah,hahaaaaaa,acha ubahili bro yaani kirungu kidogo tu unaruka hivyo??
 
Back
Top Bottom