Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Am watching youKwa hiyo nivue mkanda mkuu?

Utoto raha.
Sasa hizo milioni tano ushazipeleka kwa wenyewe au unasubiri kukabwa?
Two weeks ago kuna rafiki wa kike alikuwa analalamika kuwa mtaji wake umekata(of coz ni mtaji mdogo as biashara ni ndogo tu), nikaona anazidi kulalama tu wakati tunastorisha, nikajua she's asking for cheddar indirectly, nikaona huyu ni rafiki tu, what are friends for, ngoja nimpe (kumbuka hata mimi nanga zinapaa hapa).
Hizo asante nilizopewa wallah Mungu asiponibariki basi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Juzi naona msg yake ina neno "mpenzi", sijaelewa hadi leo kichwa "kinauma"...teh teh! Shida ni kuwa funguo za zipu zangu anazo wife[emoji23][emoji23]
Don't worry babe, "ni wewe" tu!!Am watching you
Mmmh, mkuu mimi old school ukinitajia maneno ya mahaba namna hiyo natafsiri hivyo yani.Si mpenzi rafiki unaweza kukuta hana maana hiyo
Yaani mwenyewe kaona kanifunga kamba wakati home alirudi saa7 usiku, kumbe yupo na mpenzi rafiki. Nami nitamwonyesha ushirikiano tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndiyo raha ya kupata wazazi macomedian
Sitaki.[emoji8][emoji8][emoji8]
We nae hebu acha ushamba, kula mzigo huo[emoji57][emoji57]
Nishakinai Wity!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Alimaanisha mpenzi mtoa misaada[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahahaha nimecheka sana, yaani umeona aibu jinsi ulivyozodolewa ndio ukaamua kwenda kuedit post kwa kuongezea vitu sivyo kwa bahati mbaya kuna jamaa Jumbe Brown aliquote original uzi wako so huna pa kutokea jombaaa,
Yaan wewe ndie umedhihirisha kabisa vile ulivyoathirika kisaikolojia, hahaha huyo Barmaid natamani ningemjua nimpongeze hata kwa laki, hahahaha.
Muacheni mr milioni tano jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi naona hizi ni akili za kitoto. Hamna uhalisia hapa
Papaa misifaYapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka.
Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka. Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa. Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena.
Nikamaliza kwa kumblock.
Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.
What hell is this, bora nimtumie mother tu kuliko kumpa mtu asiyejielewa. Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi. Mmoja aliumia mpaka akadata.
Hebu nitafutie mke mwenza, nishachoka kuwa peke yangu.Don't worry babe, "ni wewe" tu!!
Mweeeh!Mmmh, mkuu mimi old school ukinitajia maneno ya mahaba namna hiyo natafsiri hivyo yani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] mtoa mada anajiona kafanya jambo la kishujaa
Yapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka.
Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka. Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa. Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena.
Nikamaliza kwa kumblock.
Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.
What hell is this, bora nimtumie mother tu kuliko kumpa mtu asiyejielewa. Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi. Mmoja aliumia mpaka akadata.
Umeombwa elfu 10 tu umeruka, hiyo milion5 uipatie wapiYapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka.
Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka. Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa. Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena.
Nikamaliza kwa kumblock.
Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.
What hell is this, bora nimtumie mother tu kuliko kumpa mtu asiyejielewa. Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi. Mmoja aliumia mpaka akadata.
Samahani mkuu...
Hivi hizo za 3,000 ndio zile huwa naskia Daslam unapat hadi zakupima..??