BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
[emoji23][emoji23][emoji23]Utoto raha.
Sasa hizo milioni tano ushazipeleka kwa wenyewe au unasubiri kukabwa?
Ahahahah jamaa kabeep kapigiwa analia lia kama taahiraπππ
Huo ni utoto aibu kabisa, siku akilipa kodi huyu atapeleka tangazo Mwananchi Communications Ltd.5K alizotoa mara mbili zinamnyima usingizi asee
Madume suruali wana tabu sana
Tatizo hamjielewi mtu amekupa hela bure bila kuombwa unataka uanze kumtupia mizigo yako yote.Kuombwa 10k ya kusuka ushaona mtu ana tamaa
Maisha yanahitaji nidhamu ya hali ya juu sana,no matter who you are.daaah nimeiangalia RR ya Giningi ilivyotekea kwa moto..
huku jamaa few hrs katoka kujisifu anakwenda kuoga champagne.
Haya maisha hayana maana kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio jf burudani sanaUtoto raha.
Sasa hizo milioni tano ushazipeleka kwa wenyewe au unasubiri kukabwa?
Mleta mada ndiye aliyejitwisha mzigo wa hizo gharama toka mwanzo,hakuombwa,unamwambia mtu aache kazi inayomuingizia kipato kisha akikuomba hela inakua nongwa!Tatizo hamjielewi mtu amekupa hela bure bila kuombwa unataka uanze kumtupia mizigo yako yote.
Hujiulizi wewe umempa nini cha maana hadi umpe mtu stress
π€£π€£π€£Huo ni utoto aibu kabisa, siku akilipa kodi huyu atapeleka tangazo Mwananchi Communications Ltd.
Mimi nilichomuelewa ni kwamba alimpa tu future plan kwamba atakuja kumfungulia biashara nyingine afanye na amuachishe kazi,lakini bado alikuwa hajaacha kazi.Mleta mada ndiye aliyejitwisha mzigo wa hizo gharama toka mwanzo,hakuombwa,unamwambia mtu aache kazi inayomuingizia kipato kisha akikuomba hela inakua nongwa!
Mleta mada tatizo lake kaileta mada huku kaigeuza,mbele kapeleka nyuma kisha nyuma akapeleka mbele ndio maana anaonekana ni kituko hapa.
ππYapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki kukuona ukifanya kazi bar , na Mimi ndiye nitakuwezesha. Anasema hamna shida. Nikamuuliza anaweza kufanya biashara gani akanijibu. Nikampa elfu 5 ya kula nikaondoka. Siku ya pili nikamfuata bar anayofanyia kazi nikampa elfu 5 nikaondoka. Lengo nilikuwa kumsalimia. Siku ya tatu nikaenda tena nikampa elfu 10 nikaondoka.
Sijafanya naye sex bado.
Sasa huyu binti ameshaanza kunipiga kirungu kikubwa. Na jana nilipokwenda kumsalimia nikampa ten akasema anaomba elfu 10 nyingine akasuke, ikumbukwe ile ya kwanza nilimpa willingly bila kuombwa.
Leo asubuhi nimepiga video call nahesabu hela kama Milioni 5 hivi huku akachanganyikiwa kuona Pesa.
Baadaye nikamwandikia sms nikimwambia kuwa hatapata hata mia yangu tena mpaka anakufa. Kwakuwa ameleta tamaa mbele na mapenzi akayaweka nyuma. Nikamwambia hapa Dar kuna mabinti wanauza nyuchi mpaka kwa sh.3000, unapewa na hamsumbuani tena .
Nikamaliza kwa kumblock.
Mimi ndiye nimetoa pesa kidogo ila yeye ameathirika kisaikolojia.
Huyu ni demu wa 3 kumfanyia hivi.
Mmoja aliumia mpaka akadata.
ππSamahani mkuu...
Hivi hizo za 3,000 ndio zile huwa naskia Daslam unapat hadi zakupima..??
ππUtoto raha.
Sasa hizo milioni tano ushazipeleka kwa wenyewe au unasubiri kukabwa?
ππAhahahah jamaa kabeep kapigiwa analia lia kama taahiraπππ