Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

Unachezea mioyo ya wadada za watu... unamuambia aaChe kazi afu unampa elfu5 mtoto wa kike wadhani yamtosha hiyo? Unataka asikuombe pesa sasa amuombe nani?
Atafute zake yeye siyo mlemavu wala siyo mtoto, wadada wameona kuomba omba kama fashion
 
Nyuchi ambayo mpaka mateja wanapita na kila aina ya uchafu hauwezi kua uchi huo.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hahaha Kwani Nyinyi Madokta Wetu Mna kinyaa ?!!!

Nakumbuka Dokta mmoja alikuwa anatusimulia jinsi kila siku anavyopiga CHITO zaidi ya 10 halafu eti kuna Wengine wenye FEDHA ndogo huwa "anasafisha njia..." Halafu ndio anaingiza yale MAVYUMA NA MAPLASTIKI....๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Jokes Doktaaaaa!!
 
. Naona umeumia vyakutosha ety milionm 5 kwanini Sasa unajigamba wakati huna hela mkuu
 
Elf 10 unatoa povu hlo khaaa ...!! N wew ulikua huna nia ya kumsaidia na ndo maana umemwambia aache kaz nabdo ulimkuta kazin alkua anajua alifnyalo hya hesabu then piga nazo self uweke wallpaper.
 
Aah mzee mimi kilichoniathiri tu siku hizi naweza nikaka hata mwezi nisiwe na habari kabisa ya ngono..mbali na hivyo kinyaa kipo kuna Nyuchi hazitunzwi vizuri niliwahi pima oil nyuchi ya dada mmoja ananonekana mtanashati kwa nje lakini mzee nilinawa sana mkono ila shombo haikuniacha ikabidi nichukue sabuni ya unga nikanawia ndo ikatoka.

Hiyo ya Chito wanatanua njia kuna incharge wangu yeye alikua zaidi ya shetani kwanza anatembea na mafuta muda wote wa shuguli na alikua achagui shimo alisababisha kesi kubwa sana ofisini akatimuliwa.
 
Samahani mkuu...
Hivi hizo za 3,000 ndio zile huwa naskia Daslam unapat hadi zakupima..??
Ukihitaji unafungiwa Hadi kwenye gazeti utatumia ukiwa nyumban๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Una matatizo ya kisaikolojia wewe
Itakuwa uliteswa na wasichana unatafuta kulipiza
Kwani mtu akiomba hell ya kusuka unaona ajabu
 
Elf 10 unatoa povu hlo khaaa ...!! N wew ulikua huna nia ya kumsaidia na ndo maana umemwambia aache kaz nabdo ulimkuta kazin alkua anajua alifnyalo hya hesabu then piga nazo self uweke wallpaper.
.Ametuangusha wanaume wenzie jamaa hajielewi kabisa mwanaume mzima unatoa puvu kwa 40 aaahh hajui Nia ya mwanaume kuubwa huyu
 
Uliepoteza ni wewe maake umetoa na kuondoka umempa faida...
Ila mkuu utatoaje pesa kizembe bila kupata utamu?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..NATANIA
 
Looh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hatari yaani Mpaka ukachukua sabuni ya unga ha ha ha ha ninaamini ulimpa ushauri wa Kiafya...hwenda ana mabacteria walio harmful na wanaosababisha hicho "kisamakisamaki"...

Huyo inchaji nimemvulia kofia...daah yaani mpaka alikuwa anatembea na ASTROGLIDE maa.nnnnna zake yaani baadhi ya ninyi madokta kweli Mungu anawaona...Jinsi mnavyowasiliba mafuta WAKE ZETU.... afu wakitoka vyumbani ofisini mwenu tunawashukuru kwa maombi juu na MTONYO MWINGI tumewapa na bado tukikutana BAA tunawapa NYINGI ZA OFA baaaambaaash ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahahahahhahhahahaha nimecheka sana boss..ni kweli nilimpa ushauri kawa sawa ila bahati mbaya sikua tena na hamu nae mpaka 2025 huko labda[emoji4]
 
Kuna watu hawajali hisia za wengine kabisa, atafanya chochote kujifurahusha hata kama kitaumiza hisia zako yy wala hajali
 
Hapo ni wewe ndio umeliwa tunda kimasihara,yaani umewekeza mpaka 30elf kwa barmaid bila mzigo kupata.
Wacha ninyamaze tu maana kuna namna nimekuchukulia,inaogofya.
 
Tatizo hamjielewi mtu amekupa hela bure bila kuombwa unataka uanze kumtupia mizigo yako yote.
Hujiulizi wewe umempa nini cha maana hadi umpe mtu stress
Hapana broo kuna kitu hakipo sawa kichwan kwa mleta thread...

Tambua hawa maids wa bar wanalipwa kati ya 80k-100k monthly na hakuna mtanzania anaweza kuishi kwa kiasi hicho cha pesa hvyo wengi wanategemea kudanga na keep change za wateja kujazia vipato vyao waweze kuishi...

Jamaa ameenda na swaga za kutaka kumuachisha dem kazi then amuwezeshe asimamishe biashara yeye kama yeye, sasa katika hiki kipindi cha mpito mshkaji kama kweli anayo nia ya kumtoa dem kimaisha inabid amuwezeshe vitu flan ili aachane na utegemezi wa keep change na kudanga, jamaa katekenywa na 10k ya kusuka karuka nusu kupaa โ€œuzwazwa huuโ€

Huenda hata binti alikua anamtest userious wake, jamaa kasepa na 100kph...
Asingeweza kumsaidia chochote sana sana angempotezea tu muda wake na kazi yake anayoitegemea then akamtelekeze mbele ya safari...

Akamalizia sio mara ya kwanza kuwafanyia hvyo ameshafanya hicho kitu kwa madem wengine kadhaa
 
Ha
Hahahahahhahhahahaha nimecheka sana boss..ni kweli nilimpa ushauri kawa sawa ila bahati mbaya sikua tena na hamu nae mpaka 2025 huko labda[emoji4]
Ha ha ha ha ha ninaamini ulipomtibu na kupona...ulimpima HIV STATUS na magonjwa mazito ya ngono halafu nawe UKAMPAKA nanihii na KUTAMBAA NAE...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚utasema dokta wangu?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ